Ir para o conteúdo
Global sound
Linnet Talks

Linnet Talks

Responsible Parenting; Walezi Ingawa Sio Wapenzi

· 19 min · Temporada 7 Episódio 1

Notas do episódio

Mtoto ndio mhusika mkuu katika Episode hii. Jukumu la Malezi wakati wazazi wameachana au kutengana mara nyingi huwa linaangukia kwa mzazi mmoja wakati mwingi mama au ndugu wasio wazazi. Ni mda sasa wa kuongelea swala zima la "Responsible Parenting" na "Co-parenting" katika mazingira ya wazazi wawili wasio wapenzi. Ukuwaji wa jamii bora na kesho iliyo na tumaini unategemea sana afya ya akili ya mtoto mmoja mmoja katika jamii, na kila mtoto ni muhimu katika jamii kwa ajili ya kesho ya nchi yetu...

Ao vivo, última hora: 8.888 músicas em 3.574 rádios de 127 países

Descubra o mundo pelo rádio

Mais formas de descobrir (7)

Ouviu algo legal? Salve ou abra direto no Spotify.

★ Artista da semana A maior subida na rádio esta semana
A tua música aqui? Desde € 9 por semana →
Deecibel Rock RadioContinuar ouvindo