Hoppa till innehÄllet
Global sound
Neno la Leo

Neno la Leo

Usidharau Kipawa Ambacho Mungu Amekupa!

· 11 min · SÀsong 5 Avsnitt 11

Avsnittsbeskrivning

đŸŽ™ïž Leo kwenye Neno la Leo
1 Wafalme 7:13–14
Leo tunaendelea na simulizi ya ujenzi wa Hekalu la Bwana katika kipindi cha utawala wa Mfalme Sulemani.
Katika maandiko yetu tunakutana na mtu anayeitwa Hiramu.
Hiramu hakuwa mfalme. Hakuwa kuhani wala nabii.
Alikuwa fundi mwenye ustadi mkubwa wa kufanya kazi za shaba.
Biblia inatuambia kwamba alikuwa na hekima, ufahamu na maarifa katika kazi yake.
Sulemani alimleta ili asaidie katika kazi muhimu za ujenzi wa Hekalu.
Hebu fikiria!
Katika kazi hii kubwa ya Mungu, kulihitajika zaidi ya viongozi na makuhani.
Kulihitajika pia watu wenye ujuzi wa


Webbplats: rss.com

Live, senaste timmen: 13 354 lÄtar pÄ 6 256 stationer i 145 lÀnder

UpptÀck vÀrlden genom radion

Fler sÀtt att upptÀcka (7)

Hört nÄgot bra? Spara det, eller öppna det direkt i Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
ADELA

Nicole Kidman

ADELA · â–Č 5

Se videon Spotify

On the radio at Kiss FM UK, The Voice Radio, WWWZ FM Z 93 Jamz, Capital FM

Your song here? From € 9 per week →
Hotmix Radio LoungeFortsÀtt lyssna