Siha Njema
by RFI Kiswahili
Wagonjwa wa Kisukari nchini DRC wanalazimika kustahimili ugumu mwingi
About this podcast
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Episodes
The newest 20 of 24 episodes
- Wagonjwa wa Kisukari nchini DRC wanalazimika kustahimili ugumu mwingi · 10 minWagonjwa wa Kisukari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanapata ugumu wa kupata matibabu na lishe kutokana na usalama mdogo mashariki mwa DRC
- Wanawake wanavyotumia idadi na ushikamano wao kustawisha afya jamii · 10 minWanawake kupitia mikutano ya kijamii,mikutano ya kirafiki nchini Kenya wanahamasisha kuhusu namna ya kuishi maisha yenye afya ,afya ya uzazi na namni wanaweza kuchangia huduma za…
- Maji ya barafu na kutembea bila viatu inavyotibu mishipa na sonona · 10 minWatu wengi wameanza kukumbatia matibabu yasiyo ya dawa kuyatibu baadhi ya matatizo ya kiafya.Miongoni mwa matatizo hayo ni matatizo ya mishipa,viungo na matatizo ya afya ya akili
- Unajiandaaje kwa ajili ya dharura za kiafya kutokana na El nino? · 10 minMamlaka za hewa za kimataifa na za kikanda zimezidi kubashiri El nino ya kuvunja rekodi muda wowote kuelekea mwisho wa mwaka huu hadi mwakani.Msimu huo unahofiwa kusababisha…
- Jinsi matatizo ya uti wa mgongo yanavyotibiwa bila upasuaji au dawa · 10 minMatatizo ya uti wa mgongo kwa muda yamekuwa yakitibiwa kwa upasuaji au dawa kali za maumivu pia wagonjwa kupewa vifaa vya kuwasaidia kutembea,kuketi na kusimama
- Kwa nini afya ya akili ni swala muhimu kwa wagonjwa wanaougua magonjwa sugu · 10 minShirika la afya duniani ,WHO limesema watu zaidi ya milioni 150 barani Afrika wana hitaji huduma za afya ya akili.
- Kifafa cha mimba bado kinasababisha vifo vingi vya akina mama na watoto Afrika · 10 minKifafa cha mimba hali inayohusishwa na shinikizo kubwa la damu mama anapokuwa mja mzito kuanzia wiki 20 za mimba na inaweza kujitokeza pia pindi mama anapojifungua ,ni hali ya…
- Wagonjwa wa saratani wanavyochanganya matibabu ya hospitali na mazoezi · 10 minWagonjwa wengi wa saratani mara nyingi huhisi kulemewa na madhara yanayotokana na matibabu makali ambayo wanabidi kutumia kwa muda mrefu.
- Mchakato wa kupatikana chanjo mpya dhidi ya TB kufikia mwaka 2029 · 10 minChanjo mpya za kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu au TB zitakuwa tayari kufikia mwaka 2029
- Kwa nini kilimo sharti kuzingatiwa kumaliza njaa barani Afrika · 10 minRipoti ya mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa yameonesha Afrika bado ina watu wengi ambao wanakabiliwa na njaa. Hii ni licha ya Afrika kuwa sehemu inayofanya kilimo .
- Kisukari inaendelea kuongeza idadi ya wagonjwa wa macho nchini Kenya · 10 minMagonjwa yanoyohitaji matibabu ya muda mrefu ukiwemo kisukari unaendelea kusababisha watu wengi kupata matatizo ya macho au kupoteza uwezo wa kuona
- Afrika kukabiliana na usugu wa vimelea vifo vikitarajiwa kuvuka milioni 4 · 10 minKituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika ,Africa CDC kimeonya vifo vinavyohusishwa na usugu wa vimelea vinatarajiwa kuvuka milioni 4 mwaka wa 2050
- Mapambano dhidi ya Ebola Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo · 10 minEbola imekamilisha siku 100 tangu ilipotangazwa na bado bado haijadhibitiwa
- Kwa nini bima ya afya ya msafiri ni sharti muhimu kwa mataifa ya Afrika · 10 minUmuhimu wa bima ya afya kwa wasafiri ni pamoja na kupunguza gharama kwa taifa mwenyeji haswa wakati huu nchi nyingi hususan za Afrika zinashuhudia ongezeko la milipuko wa…
- Unaweza kuendelea kunyonyesha hata baada ya kutenganishwa kwa muda na mwanao · 10 minImani kuwa mama na mtoto wanapotenganishwa inaweza kuathiri ubora wa maziwa ya mama inapotosha. Watalaam wanasisitiza maziwa ya mama hayawezi kuharibika kwenye titi.
- Kwa nini watalaam wanahoji maumivu makali wakati wa hedhi si kawaida · 10 minMaumivu wakati msichana au mwanamke anapokuwa kwenye siku zake za hedhi, yanaweza kuwa ya kawaida ila maumivu haya yanapomfanya kushindwa na shughuli za kawaida si kawaida
- Changamoto ya wanaume na wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa · 10 minRaia mmoja wa Kenya amefika kwenye bunge la kitaifa nchini Kenya akitaka swala la wanaume na wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa kuorodheshwa kuwa ulemavu
- Visa vya kung'atwa na Nyoka vyaongezeka kaunti ya Turkana Nchini Kenya · 9 minKaunti ya Turkana inaongoza nchini Kenya kwa visa vya watu kung'atwa na nyoka. Wataalamu wa afya wanasema mabadiliko ya tabianchi, joto kali na changamoto za upatikanaji wa…
- Mashirika ya kiraia Afrika yaanza kampeni dhidi ya madeni ya umma · 10 minMashirika ya kiraia yanasema nchi za Afrika zinalipa deni na kuachwa na kiasi kidogo cha pesa kuendesha shughuli muhimu za serikali ,sekta ya afya ikiathirika zaidi
- Kampeni kuhakikisha vyakula vilivyosindikwa vina maandishi ya kuonya · 10 minTafiti kadhaa za kiafya zimebainisha magonjwa mengi yasiyoambukizwa yana uhusiano mkubwa na vyakula vilivyosindikwa na hali ya watu kukosa kuzingatia mazoezi ya kila mara.

