About this podcast
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
• MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
• FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
• BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
• #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
• #Dakika10ZaKocha; https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276
• #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
• #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
• #WashirikaWaMafanikio (Kundi); https://chat.whatsapp.com/DldGMa1wCi71SlPb4iuMKZ
Karibu ujifunze na kubadili maisha yako.
Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Episodes
The newest 20 of 162 episodes
- #DZK146; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Pesa Nyingi Kuliko Unavyopata Na Kujizuia Kujenga Utajiri Unaotaka · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK146; Hivi Ndivyo Unavyopoteza Pesa Nyingi Kuliko Unavyopata Na Kujizuia Kujenga Utajiri Unaotaka Become a supporter of this podcast…
- #DZK145; Usijisahau Sana, Hili Halitakuja Kutokea Tena · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK145; Usijisahau Sana, Hili Halitakuja Kutokea Tena Become a supporter of this podcast…
- #DZK144; Ukweli Mchungu Unaopaswa Kuujua Kuhusu Mafanikio Ili Usikate Tamaa Kamwe · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK144; Ukweli Mchungu Unaopaswa Kuujua Kuhusu Mafanikio Ili Usikate Tamaa Kamwe Become a supporter of this podcast…
- #DZK143; Hiki Ndiyo Kinachokukwamisha Kwenye Kufikia Malengo Unayojiwekea, Na Jinsi Ya Kukivuka · 10 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK143; Hiki Ndiyo Kinachokukwamisha Kwenye Kufikia Malengo Unayojiwekea, Na Jinsi Ya Kukivuka Become a supporter of this podcast…
- #DZK142; Tumia Huu Mwendo Wa Kilema Kujenga Mafanikio Makubwa Licha Ya Mapungufu Uliyonayo · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK142; Tumia Huu Mwendo Wa Kilema Kujenga Mafanikio Makubwa Licha Ya Mapungufu Uliyonayo Become a supporter of this podcast…
- #DZK141; Maeneo Matatu Ya Kuhakikisha Yanafanya Kazi Ili Biashara Ifanikiwe · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK141; Maeneo Matatu Ya Kuhakikisha Yanafanya Kazi Ili Biashara Ifanikiwe Become a supporter of this podcast…
- #DZK140; Kinachokuzuia Kufanikiwa Siyo Kukosa Pesa, Bali Kukosa Huu Uthubutu · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK140; Kinachokuzuia Kufanikiwa Siyo Kukosa Pesa, Bali Kukosa Huu Uthubutu Become a supporter of this podcast…
- #DZK139; Unayapoteza Maisha Yako Kwa Kuhangaika Kutafuta Kitu Ambacho Tayari Unacho · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK139; Unayapoteza Maisha Yako Kwa Kuhangaika Kutafuta Kitu Ambacho Tayari Unacho Become a supporter of this podcast…
- #DZK138; Tofauti Kwenye Mfanano, Njia Pekee Ya Kupata Na Kulinda Mafanikio Makubwa Kwenye Zama Za Akili Unde (AI) · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK138; Tofauti Kwenye Mfanano, Njia Pekee Ya Kupata Na Kulinda Mafanikio Makubwa Kwenye Zama Za Akili Unde (AI) Become a supporter of this podcast…
- #DZK137; Tumia Rasilimali Hizi Kutenganisha Muda Wako Na Pesa Zako Ili Kujenga Utajiri Usio Na Ukomo · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK137; Tumia Rasilimali Hizi Kutenganisha Muda Wako Na Pesa Zako Ili Kujenga Utajiri Usio Na Ukomo Become a supporter of this podcast…
- #DZK136; Kukosekana Kwa Huu Ujuzi Kumezuia Biashara Nyingi Kupata Ukuaji Mkubwa · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK136; Kukosekana Kwa Huu Ujuzi Kumezuia Biashara Nyingi Kupata Ukuaji Mkubwa Become a supporter of this podcast…
- #DZK135; Juhudi Kubwa Pekee Hazitoshi Kukupa Mafanikio Makubwa · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK135; Juhudi Kubwa Pekee Hazitoshi Kukupa Mafanikio Makubwa Become a supporter of this podcast…
- #DZK134; Kuepuka Kukata Tamaa, Angalia Wastani Badala Ya Tukio Moja Moja · 10 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK134; Kuepuka Kukata Tamaa, Angalia Wastani Badala Ya Tukio Moja Moja Become a supporter of this podcast…
- #DZK133; Fanya Haya Uweze Kudumu Kwenye Mchakato Hata Kama Mafanikio Yanachelewa · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK133; Fanya Haya Uweze Kudumu Kwenye Mchakato Hata Kama Mafanikio Yanachelewa Become a supporter of this podcast…
- #DZK132; Kupenda Unachofanya Haitoshi, Unapaswa Kukifanya Kwa Namna Hii · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK132; Kupenda Unachofanya Haitoshi, Unapaswa Kukifanya Kwa Namna Hii Become a supporter of this podcast…
- #DZK131; Epuka Mambo Haya Kwenye Mapambano Yako Ya Kufanikiwa · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK131; Epuka Mambo Haya Kwenye Mapambano Yako Ya Kufanikiwa Become a supporter of this podcast…
- #DZK130; Siri Isiyo Siri Ya Mafanikio Makubwa · 10 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK130; Siri Isiyo Siri Ya Mafanikio Makubwa Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support…
- #DZK129; Kwa Nini ‘Kufeki’ Mafanikio Ni Hatari Kwa Mafanikio Yako Makubwa · 10 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK129; Kwa Nini ‘Kufeki’ Mafanikio Ni Hatari Kwa Mafanikio Yako Makubwa Become a supporter of this podcast…
- #DZK128; Jinsi Unavyolipwa Inaamua Kiasi Cha Utajiri Unaoweza Kujenga · 11 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK128; Jinsi Unavyolipwa Inaamua Kiasi Cha Utajiri Unaoweza Kujenga Become a supporter of this podcast…
- #DZK127; Kujenga Pekee Haitoshi, Matunzo Endelevu Yanahitajika Kwenye Mafanikio · 10 minSoma #BaruaYaKocha hapa; #BZK127; Kujenga Pekee Haitoshi, Matunzo Endelevu Yanahitajika Kwenye Mafanikio Become a supporter of this podcast…








