Skip to content
Global sound
Falsafa za Jamii

Falsafa za Jamii

by Eudaimonia Ethos

Latest episode
Uzalendo

About this podcast

Katika Falsafa za Jamii, tunajadiri kwa kina jinsi falsafa mbali mbali zanavyotumika katika maisha ya kila siku ndani ya jamii zetu

Episodes

  • Uzalendo · 22 min · Season 1 Episode 13Nini hasa ni maana ya neno uzalendo. Tunatumia vigezo vipi kusema mtu fulani ni mzalendo. Falsafa inasemaje juu ya uzalendo
  • Ukimya wa Hofu katikat Siasa za Tanzania · 25 min · Season 1 Episode 11Nguvu na mbinu zinazotumiwa na serikali ya Tanzania kutengeneza Hofu ili kukabiliana na wale wanaoikosoa. Falsafa inatuambia nini juu ya diplomasia za mabavu zinazotumiwa na…
  • Mtego wa maridhiano ya kitapeli · 16 min · Season 1 Episode 10Jinsi gani maridhiano yanatumika kama mtaji kwa wachache na silaha ya ukandamizaji
  • Nani hasa anamiliki chama chako · 32 min · Season 1 Episode 9Umewahi kujiuliza jinsi gani muundo halisi wa chama kilicho tawala kwa muda mrefu ubadilika na kuwa genge la wafanyabiashara. Sheria ya chuma ya Oligarchy inasema nini
  • Mkate na Sarakasi · 22 min · Season 1 Episode 8:Mkate na sarakasi ni dhana inayotumika katika jamii yetu kimkakati, Je falsafa ina lipi la kusema juu ya hilo
  • Ubaguzi wa Kifamilia · 23 min · Season 1 Episode 7Ubaguzi wa kifamilia au nepotism una madhara gani katika jamii na kwanini lazima kuukemea kwa nguvu zote
  • Ugonjwa wa Kiburi · 16 min · Season 1 Episode 6Falsafa inasemaje juu ya kiburi kinachowakuta viongozi
  • Nguvu na Mabavu · 13 min · Season 1 Episode 5Kuna tofauti gani kati ya nguvu na mabavu, je ni kweli taasisi inapopoteza nguvu inaweza kutumia mabavu kuendesha shughuli zake, Falsafa inasemaje juu ya haya
  • Uovu wa Kimfumo · 22 min · Season 1 Episode 4Jinsi gani watu wa kawaida wenye sura nzuri na muonekano wa kawaida, hujikuta wakafanya uovu wa kushitua kwa kisingizio cha kufuata taratibu za kazi.
  • Amani Hasi na Amani Chanya · 21 min · Season 1 Episode 3Hapa tunachimba tofauti kati ya amani hasi inayotangazwa sana na serikali na Amani chanya inayotegema haki.
  • Utilitarianism · 21 min · Season 1 Episode 2Falsafa ya utilitarianism inavyofanya kazi katika serikali na jamii kiujumla
  • Mkataba wa Kijamii · 19 minTunachimba namna mkataba wa kijamii unavyotokea na jinsi inavyoweza kulindwa na raia

Live, last hour: 12,827 songs on 6,169 stations in 143 countries

Discover the world through radio

More ways to discover (7)

Heard something good? Save it, or open it straight away in Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
Radio 538 luisteren - Live!Popular right now