SBS Swahili - SBS Swahili
di SBS
Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho…
Informazioni su questo podcast
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Episodi
I 50 episodi più recenti su 1.070
- Taarifa ya Habari:Waziri wa Hazina"Serikali ya shirikisho haitakubali mapendekezo mbadala kwa mageuzi ya kodi" · 14 minWaziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama cha Labor, wala hata…
- Makala Leo:Kutoka kipaza sauti kilichosalia kuwashwa hadi ulaji wa kuku wa viungo vikali,Albanese anafanya nini ASEAN? · 10 minMkutano wa viongozi wa nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) ulianza jana Jumatatu na tamati yake ni leo Jumanne, muda mfupi baada ya mkutano wa kilele wa COP31 na kabla ya…
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yawekeza milioni 88 kutoa mpango wa AUKUS · 16 minSerikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa mpango wa AUKUS.
- SBS Learn Eng Ep 123 Jinsi yakuzungumzia usiku wakuamkia baada yakuhudhuria sherehe · 9 minJe, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu usiku wakuamkia baada yaku hudhuria sherehe?
- Yaliyojiri Afrika: Maelfu wakimbia vurugu Ethiopia · 7 minSerikali ya Kenya imethibitisha kuwa, kwa sasa inawahifadhi takriban raia Elfu 40,000 ambao wameingia nchini humo kufuatia mapigano katika baadhi ya maeneo Ethiopia.
- Taarifa ya habari:Waziri Mkuu Albanese akosolewa katika mkutano wa kilele kuhusu tabianchi · 5 minSeneta huru David Pocock, amemkosoa Waziri Mkuu Anthony Albanese kwa kushindwa kutaja nishati ya visukuku katika wito wake wa kuchukua hatua za kimataifa kuhusu tabianchi…
- Taarifa ya Habari:Msuluhishi wa malalamishi atoa tahadhari kwa wanao lengwa na makampuni yasiyo na leseni kuhusu kuhamisha fedha zao zakustaafu · 14 minWaaustralia wanahimizwa kuwa waangalifu kuhusu kupokea ushauri wa kifedha kutoka kwa matangazo au watu wanaowapigia simu bila idhini wakiwataka wabadilishe wanako hifadhi fedha…
- Makala Leo:Serikali za QLD na NT zazuia ziara ya afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa · 11 minSerikali za Queensland na Wilaya ya Kaskizini, zinakabiliwa na ukosoaji baada ya kumzuia afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa kukagua vituo vya kuzuilia vijana.
- Taarifa ya Habari: Vijana wahalifu kuwekwa kizuizini hadi mwaka mmoja kupitia sera mpya kali Victoria · 5 minChama cha Labor cha jimbo la Victoria kimeahidi sera mpya kali dhidi ya uhalifu, ambayo inaweza kuwaweka vijana wahalifu kizuizini kwa lazima kwa hadi mwaka mmoja…
- Yaliyojiri Afrika: WHO yaidhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya za Ebola DRC · 7 minShirika la Afya Duniani (WHO) lime idhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya, dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
- Taarifa ya Habari:Wataalam wataka huduma za afya ya wanawake ziboreshwe · 16 minWataalamu wa afya ya wanawake wanatoa wito kwa serikali kuchukua hatua ili kushughulikia upungufu katika huduma za baada ya kujifungua katika maeneo ya vijijini nchini Australia.
- Makala Leo:One Nation yatikisa uchaguzi wa Victoria · 17 minMchakato wa uchaguzi katika jimbo la Victoria umeanza rasmi, huku Gavana Margaret Gardner akitia saini nyaraka rasmi za kuitisha uchaguzi huo.
- Makala Leo:Nini kitafuata katika sera ya Marekani kuhusu vita na Iran baada ya kushindwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula? · 12 minRais wa Marekani Donald Trump, akijiita "Bw. Veto", ameapa kutumia mamlaka yake ya kupinga ili kuzuia miswada ya chama cha Democratic katika Bunge la Marekani.
- Taarifa ya Habari: Australia yatoa wito wa kukomesha vita vya Iran · 5 minWaziri Mkuu yuko njiani akirudi nchini, baada ya mkutano wa wakuu wa serikali wa Jumuiya ya Madola katika ukanda wa Karibean. #sbsaudiopodcast
- Yaliyojiri Afrika: Uganda yarejesha wanajeshi wake nyumbani · 8 minUganda imeanza kuondoa wanajeshi wake kutoka Somalia. Kanali Chris Magezi, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Uganda, ametangaza Jumatatu asubuhi katika taarifa kwa vyombo vya habari.
- Taarifa ya Habari:Waajiri nchini washauriwa kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na moto wa vichaka · 14 minWaajiri wa Australia wanahimizwa kupitia mipango yao ya dharura ili kuwalinda wafanyakazi, kabla ya kipindi cha kiangazi kinachotarajiwa kuwa na joto kali na hali mbaya ya hewa.
- Makala Leo: Huwezi mudu kununua nyumba? Huenda ikawa ni bora kwako · 14 minKama wewe ni mmoja wa mamilioni ya Waaustralia wanaoishi katika nyumba za kupanga kwa sababu huwezi kumudu kununua nyumba katika eneo unalotaka kuishi, huenda unahisi kana kwamba…
- Be prepared for snake season in Australia - Australia Yafafanuliwa: Jiandae kwa msimu wa nyoka nchini Australia · 9 minSnakes are often seen in Australia in spring and summer. You may also see one at other times of year, depending on the weather. Here are some expert tips on snake behaviour and…
- Taarifa ya Habari:Mpango wa kununua bunduki kutoka umma waanza leo jimboni New South Wales · 5 minZaidi ya silaha za moto 2,000 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa polisi katika wiki zijazo, huku mpango wa serikali moja ya jimbo wa kununua tena silaha ukianza leo. #sbsaudiopodcast
- Makala Leo:Je,hauna muda wa kufanya mazoezi? Utafiti mpya unalenga kuthibitisha jambo hilo kupitia mapumziko ya kufanya mazoezi ambayo hulipwa · 8 minBaadhi hupenda kufanya mazoezi kabla ya kazi. Wengine, baada ya kazi.
- Taarifa ya Habari:Mvutano kuhusu mbunge wa ibuka kati ya Labor na One Nation · 14 minChama cha Labor kinasema hakijaribu kumshawishi mbunge mpya David Farley aondoke katika chama cha One Nation, licha ya kumpatia mfanyakazi wa ziada anayechukuliwa kuwa wa thamani…
- Makala Leo:Ukosefu wa usalama wa chakula ni tatizo linalozidi kuongezeka kwa familia za Australia · 13 minFamilia nyingi nchini Australia, zinakabiliwa na njaa huku gharama ya maisha ikiendelea kuwa mzigo mkubwa.
- Yaliyojiri Afrika:Waathirika wa machafuko ya uchaguzi Tanzania waendelea kutafuta majibu · 6 minTanzania inakumbuka mwaka tangu vurugu za uchaguzi zilizosababisha mamia ya vifo.
- Taarifa ya Habari: Lissu asitisha mgomo wa kula · 4 minWaziri wa Biashara wa Australia anatarajiwa kukutana na kundi muhimu la wakulima leo, [[Alhamisi, 29 Oktoba]], kabla ya mkataba wa biashara huria kati ya Australia na Umoja wa…
- How people shape change, and why your voice matters | How Australia Works - Jinsi watu wanavyochagiza mabadiliko, na kwa nini sauti yako ni muhimu | How Australia Works · 6 minCan a small group change a local council decision? When Julie learns her community library may close, she joins other residents in a campaign to save it. Her story explores how…
- Taarifa ya Habari: Lissu atarajiwa kuanza mgomo wa kula na kutumia dawa · 14 minNdege ya kwanza ya kimataifa itakayoanza kuruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Western Sydney (Jumatatu) imetua mjini Auckland. Safari za ndege kwenda Singapore zimepangwa hivi…
- Makala Leo:Uwanja mpya wa ndege katika eneo la Magharibi Sydney waanza kutumiwa rasmi · 11 minUwanja mpya mkubwa wa kwanza wa ndege nchini Australia katika kipindi cha zaidi ya miaka 50 umefunguliwa rasmi.
- Makala Leo: Je, Victoria inaweza elekea upande wa mrengo wakulia baada ya miaka 12 ya utawala wa chama cha Labor? · 11 minVictoria imekuwa ikionekana kama jimbo linaloendelea. Lakini uchaguzi wa jimbo wa Novemba hii unaleta matarajio ya mabadiliko, hadi kwa mrengo wa kulia wa watu wengi huku kura…
- Taarifa ya Habari:Bunge larejea tena wiki moja baada ya shambulio dhidi ya mbunge huru Helen Haines · 6 minWaziri Mkuu Anthony Albanese anatarajiwa kutoa hotuba bungeni leo, akiwaalika wabunge kutoa heshima zao wanapotafakari kuhusu shambulio linalodaiwa dhidi ya Helen Haines na…
- Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa · 7 minKwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
- Taarifa ya Habari:Uchunguzi waendelea baada ya mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, kugongwa na gari nje ya ofisi yake ya uwakilishi · 16 minPolisi wa Victoria wanasema hakuna tishio lolote linaloendelea dhidi ya mtu mwingine au jamii kwa ujumla, kufuatia tukio ambapo Mbunge wa Shirikisho, Helen Haines, aligongwa na…
- How laws change, and why it takes time | How Australia Works - Jinsi sheria hubadilika, na kwa nini huchukua muda| How Australia Works · 8 minHow do laws change in Australia? Through Rodney Croome’s campaigns for human rights and marriage equality, learn how personal stories, community action, courts and parliament can…
- Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST) · 6 minTaasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.
- Chairmodo "michuano hii inatupa fursa ya kusherehekea utamaduni wetu" · 13 minVijana wa jumuiya zawa Kenya kutoka majimbo na wilaya za Australia, walijumuika mjini Adelaide 3-4 Oktoba kwa michuano ya kombe la Kenya All Stars.
- Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako · 10 minDhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na…
- Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra · 14 minWaziri Mkuu Anthony Albanese ame eleza mkutano wa wanasiasa na viongozi wa jamii za tamaduni mbalimbali kuwa, karibu wanawake wahamiaji na wakimbizi 350,000 wanafanya kazi katika…
- SBS Learn Eng Ep 120 Jinsi yakuzungumza kuhusu kuhudhuria harusi · 12 minJe, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuhudhuria harusi katika Kiingereza?
- Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC · 7 minJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na changamoto katika juhudi za kudhibiti Ebola, baada ya chama cha wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na…
- Taarifa ya Habari:Raia wa Australia azuiwa kimakosa kwa siku 945 · 5 minWito wa kupunguzwa kwa kodi unaongezeka baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha wapiga kura wengi wanataka serikali ifanye mengi zaidi kusaidia wapangaji. Ripoti ya Mchunguzi wa…
- How laws are made, and how they affect you | How Australia Works - Jinsi sheria zinavyotungwa, na jinsi zinavyokuathiri | Jinsi Australia Inavyofanya kazi. · 10 minHow are laws made in Australia? Through Wurundjeri Elder Uncle Dave Wandin’s story of the Birrarung, also known as the Yarra River, learn how an idea becomes a bill, passes…
- Taarifa ya Habari:Zaidi ya wafanyakazi 460,000 wanatarajiwa kupata ongezeko la mishahara kwa ajili ya usawa wa kijinsia · 16 minZaidi ya wafanyakazi 460,000 wa afya, ulemavu na huduma za jamii wa Australia wanatarajiwa kuongezwa mishahara, wakati Serikali ya Shirikisho ikitangaza kifurushi cha ufadhili…
- Makala Leo:Wajibu wa Huduma katika Nyanja ya Kidijitali: Greens wataka mamlaka ya kushtaki makampuni makubwa ya teknolojia · 8 minWakati Bunge likijiandaa kujadili Muswada uliopendekezwa wa Wajibu wa Huduma ya Kidijitali, chama cha Greens kinataka sheria hizo ziende mbali zaidi kwa kuruhusu Waaustralia…
- Birth and pregnancy care options in Australia - Australia Yafafanuliwa:Chaguzi za huduma ya uzazi na ujauzito nchini Australia · 14 minIf you're first-time parents in Australia, choosing where and how to give birth can feel overwhelming. Whether you go through the public or private health system, it is important…
- Taarifa ya Habari:Australia yajiandaa kwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na "super El Niño" · 15 minAustralia inajiandaa kwa kile kinachotarajiwa kuwa msimu hatari wa moto wa msituni unaosababishwa na tukio linaloitwa "super El Niño" pamoja na mabadiliko ya hali ya hewa.
- Breast screening: What to expect and why it matters - Australia Yafafanuliwa: Uchunguzi wa saratani ya matiti: Nini cha kutarajia na kwa nini ni muhimu · 14 minRegular breast screening can help find breast cancer early, before you notice any signs or symptoms. Screening is free for eligible women or people at risk of breast cancer. It…
- Makala Leo: Mzozo kuhusu ubomoaji wa minara mjini Melbourne wafikishwa katika mahakama kuu · 8 minMzozo wa kisheria kuhusu mpango wa Serikali ya Victoria wa kubomoa majengo marefu kadhaa ya makazi ya umma unaelekea katika Mahakama Kuu.
- Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya Kenya wahoji maandalizi ya serikali kudhibiti Ebola · 9 minBaadhi ya wahudumu wa afya nchini Kenya wamehoji kiwango cha maandalizi ya kukabiliana na Ebola, wakisema wafanyakazi walio katika mstari wa mbele hawana mafunzo wala vifaa vya…
- Taarifa ya Habari:Kikosi maalum cha polisi kuzinduliwa kufuatia tukio la fukwe ya Bondi · 6 minJeshi la Polisi la New South Wales limesema timu mpya ya wataalamu, itaanza mazoezi ya mafunzo ya umma, kama sehemu ya kukabiliana na shambulio baya la fukwe ya Bondi ambalo…
- Yaliyojiri Afrika:Hali ya wasiwasi yaendelea mjini Mekelle baada ya waasi wa TPLF kuondoka · 7 minVikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa TPLF kutangaza kuondoka…
- Why power is split, and how that protects you | How Australia Works - Kwa nini mamlaka hugawanywa, na jinsi hali hiyo hukulinda | Jinsi Australia Inavyofanya kazi · 6 minAfter receiving a fine for not wearing his motorbike helmet correctly, Hugo decides to have the matter heard in court. His story explains how Parliament, government and the…








