Catatan episode
Hauwi wa thamani kwasababu ya kile unachokipata bali kile unachokitoa. "Kwakuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, apandaye haba atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu."
Kitakachofanya bidhaa zako au huduma zako ziwe za thamani sio gharama yake bali ni manufaa yanayotokana na hiyo huduma.
Ili upate faida kubwa kutokana na kile unachokifanya unatakiwa upande mbegu ya thamani.
.
.
Fuatilia mtiririko wa matoleo haya kupitia H.W TV na H.W PODCAST kila wiki. Tembelea www.hubofwisdom.com/media kufahamu zaidi. Maoni yako ni ya thamani sana kwetu ili toleo lijalo liwe bora…
Situs: podcasters.spotify.com

