Jukwaa la Michezo
by RFI Kiswahili
Latest episode
Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027…
Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027…
About this podcast
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
Episodes
The newest 20 of 24 episodes
- Olimpiki ya vijana ikitamatika, Raundi ya tatu kufuzu AFCON 2027 imeanza · 24 minLeo tutaangazia mashindano ya Olimpiki ya vijana kutamatika jijini Dakar, Senegal, uchambuzi wa raundi ya tatu ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali ya…
- Je, Afrika iko tayari kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki ya majira ya joto? · 24 minLeo kwenye kipindi tunapiga darubini na tathmini ya uwezo wa Afrika kuandaa michezo mikuu ya Olimpiki baada ya kuandaa michezo ya Olimpiki ya vijana kwa mara ya kwanza, tuzo za…
- DAKAR 2026: Kenya yashinda dhahabu, Burundi yashinda shaba katika wiki ya kwanza · 24 minTuliyokuandalia leo - wiki ya kwanza kwenye michezo ya Olimpiki ya vijana Dakar, Senegal; Kenya yashinda dhahabu Huku Burundi ikishinda shaba. Michuano ya klabu bingwa kwa kina…
- Kenya yatinga nusu fainali kwenye Baseball5 michezo ya Olimpiki ya Vijana · 24 minLeo tumeangazia Michezo Ya Olimpiki Ya Vijana Yaingia Siku Ya Pili Jijini Dakar, Senegal, Kwenye mjadala: Uwanja Wa Talanta Kufunguliwa Na Mechi Kati Ya Bayern Munich Dhidi Ya…
- Kila unachofaa kufahamu kuhusu michuano ya Olimpiki ya vijana ya 2026 · 24 minLeo tunazungumzia kuanza kwa mashindano ya Olimpiki ya Vijana jijini Dakar, Senegal, CAF kurejesha AFCON kila ya baada ya miaka miwili, droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika…
- Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1 · 24 minMechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal…
- Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati…
- CAF: Raundi ya pili kufuzu Afcon 2027, Ronaldo aondoka katika kambi ya Ureno · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matukio na matokeo ya raundi ya pili kufuzu michuano ya Kombe la Mtaifa ya Afrika 2027, mechi za kufuzu Afcon U23 na U20, kocha wa…
- Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na…
- Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal…
- Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026 · 24 minRaundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki…
- Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa · 24 minTuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya…
- Michuano ya voliboli ya Afrika ya kina dada yaingia raundi ya mtoano · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya…
- Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95 · 24 minLeo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini…
- Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco · 24 minTuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la…
- WAFCON yaingia mtoano, Rayon mabingwa wa CECAFA, CAF yamuunga mkono Infantino · 21 minTumeangazia uchambuzi wa matokeo na matukio kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kina dada inayoingia kwenye mtoano, droo ya michuano ya klabu bingwa, CAF yamuunga mkono rais…
- Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup · 24 minLeo kwenye kipindi tunaangazia WAFCON inayoendelea nchini Morocco - Kenya yaaga mashindano huku Tanzania ikisalia na matumaini lakini Nigeria na Afrika Kusini zimeanza kwa…
- CAF: Wafcon, mashindano ya jumuiya ya madola na Kombe la Cecafa yaanza · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya kina dada ya Afcon, Kombe la Cecafa, mashindano ya Jumuiya ya Madola, tetesi za uhamisho Ulaya na Afrika Mashariki…
- Ufaransa na Uingereza zaondolewa kwenye nusu fainali Kombe la Dunia · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja uchambuzi wa nusu fainali, mechi ya mshindi wa tatu na taarifa kuu kuhusu Kombe la Dunia kuhusu washindi kutuzwa pete pamoja na medali na kombe huku…
- Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani? · 24 minTuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa raundi ya 16 bora na robo fainali michuano ya Kombe la Dunia, Misri na Morocco zikiaga mashindano, Mbappe na Messi wang'ang'ania…


