İçeriğe geç
Global sound
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)

Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)

Maranga Amos Atima

En yeni bölüm
MFUMO WA JUA: Siri za Sayari 8 Ambazo Hazijawahi Kufundishwa Shuleni!

Bu podcast hakkında

Karibu kwenye podcast inayokupa maarifa ya teknolojia, sayansi na majibu ya maswali ya maisha kwa Kiswahili! Tunaangazia maendeleo ya kisasa, kuanzia akili unde yaani AI hadi ukubwa wa ulimwengu. Kila wiki, tunashirikisha uchambuzi wa habari za teknolojia, ufafanuzi wa dhana ngumu, na ushauri wa kivitendo. Jiunge nasi kupata elimu na burudani kupitia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Kiswahili Kitukuzwe kwani ni lugha yetu na urithi wetu
#TeknolojiaAfrika #SayansiKiswahili #AfrikaImara

Bölümler

83 bölümden en yeni 20 bölüm

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
Musica Jazz RadioDinlemeye devam et