Nendiwe Podcast
by Nendiwe Podcast
Nendiwe Podcast S1E3 USTAWI WA KIFEMINIA NI NINI?
About this podcast
Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inalenga kupanua maarifa, uelewa na uchambuzi wa kina kuhusu ustawi, utunzaji na uponyaji kwa mtazamo wa kifeminia. Kupitia mazungumzo haya, tunahoji na kuifumua mifumo ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni inayochangia kudhoofisha ustawi wa wanawake na wasichana, huku tukihamasisha mabadiliko yanayojenga ustawi wa kifeminia, haki, utu na maisha yenye usawa
Episodes
- Nendiwe Podcast S1E3 USTAWI WA KIFEMINIA NI NINI? · 1 h 16 min · Season 1 Episode 3MADA: USTAWI KIFEMINIA NI NINI? KWA NINI UNABADILISHA NAMNA TUNAVYOUELEWA USTAWI? Ni mfumo gani unaouona ukiwazuia wanawake wengi katika jamii yako kustawi kikamilifu? - ustawi…
- USTAWI WA KIFEMINIA NI NINI? · 1 min · Season 1 Episode 3MADA: USTAWI KIFEMINIA NI NINI? KWA NINI UNABADILISHA NAMNA TUNAVYOUELEWA USTAWI? Ni mfumo gani unaouona ukiwazuia wanawake wengi katika jamii yako kustawi kikamilifu? - ustawi…
- UFEMINIA NI NINI? · 1 h 16 min · Season 1 Episode 2MADA: UFEMINIA NI NINI? KWANINI BADO UNAHITAJIKA LEO? Nendiwe Podcast na Mary Rusimbi inakukutanisha na Prof. Ruth Meena na Mary Ndaro kulizungumzia hili kwa kina. Upande wa…
- KARIBU NENDIWE · 1 h 19 min







