Naar de inhoud
Global sound
Linnet Talks

Linnet Talks

Ulipoteza wapi Self Confidence yako?

· 25 min · Seizoen 1 Aflevering 1

Beschrijving

Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini. Wanawake wasiojiamini ni janga kwenye jamii hata kama kuna haki sawa, wanawake hawazifurahi hizo haki kwasababu hawajitokezi. Hii podcast ni kwajili ya wanawake ambao wanaona wamejipoteza njiani, na wanataka mwanga wa kumu...

Live, afgelopen uur: 7.468 nummers op 3.541 zenders in 118 landen

Ontdek de wereld via de radio

Meer manieren om te ontdekken (7)

Iets moois gehoord? Bewaar het, of open het direct in Spotify.

★ Artiest van de week De snelste stijger op de radio deze week
Jouw nummer hier? Vanaf € 9 per week →
Radio 538 luisteren - Live!Nu populair