Avsnittsbeskrivning
“Walking in the shadow of a giant” si jambo rahisi—na inakuwa ngumu zaidi pale “Giant” huyo akiwa ni Augustine Mahiga, mwanadiplomasia mashuhuri wa Tanzania, na wewe ni mtoto wake wa kiume, unayejulikana kama Andrew Mahiga. Kwa wengi, jina la mwisho linaweza kufungua milango, lakini je, kila nafasi unayoipata ni kwa sababu ya uwezo wako au kwa sababu unaitwa Mahiga? Hilo ndilo swali ambalo Andrew amekuwa akilazimika kulikabili katika safari yake ya kujitambua. Katika episode hii ya kipe...

