Přejít k obsahu
Global sound
MSASA Podcast

MSASA Podcast

autor: Elisha Simon

Nejnovější epizoda
SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO

O tomto podcastu

KARIBU MSASA.

A show where we talk to successful people about FAILURE.

Epizody

Nejnovějších 20 z 51 epizod

  • SIRI YA UWEKEZAJI BONGO - MSASA NA IMANI MUHINGO · 1 h 7 min · Řada 4 Epizoda 7Send us Fan Mail Kuna kitu kinabadilika kwenye namna Watanzania wanavyofikiria kuhusu pesa na uwekezaji. 📈🇹🇿 Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia muamko wa uwekezaji, lakini what…
  • UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO · 1 h 34 min · Řada 4 Epizoda 6Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda…
  • Tunatembea na Hofu ya PESA · 1 h 1 min · Řada 4 Epizoda 5Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa…
  • You Can Only Dream to the Level of Your Exposure · 1 h 35 min · Řada 4 Epizoda 4Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough? In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained…
  • You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL · 1 h 29 min · Řada 4 Epizoda 3Send us Fan Mail People are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether. In this episode of the MSASA…
  • Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY · 1 h 19 min · Řada 4 Epizoda 2Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka…
  • Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE · 1 h 14 min · Řada 4 Epizoda 1Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto…
  • Mpishi wa pilau · 1 h 15 min · Řada 3Send us Fan Mail
  • Tatizo ni kwenye kugawana % · 1 h 14 min · Řada 3Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa…
  • Bongo Mkononi · 1 h 39 min · Řada 3Send us Fan Mail Bongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa Taji Liundi — “Master T”..
  • Baraka za Baraka · 1 h 17 min · Řada 3Send us Fan Mail
  • People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain · 1 h 6 min · Řada 3Send us Fan Mail Beyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress. From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa…
  • Sina Kazi Naishi Ninavyotaka · 1 h 41 min · Řada 3Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani…
  • Kuna Maisha kwenye Siasa · 1 h 30 min · Řada 3Send us Fan Mail Msasa wa leo umeingia na boti la mapema, so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.
  • The Entrepreneur’s Guide to Employment · 1 h 15 min · Řada 3Send us Fan Mail In this episode of Msasa with Rumisho, we dive deep into leadership, integrity, teamwork, and the entrepreneurial spirit. From taking full responsibility, to…
  • Jinsi Ya Kuongea Na Mungu · 1 h 7 min · Řada 3Send us Fan Mail This is one of those episodes that makes you sit back, listen, and reflect: What am I without God? What is my purpose am I truly living it? How do I discover it?…
  • Conversations to conversions · 1 h 15 min · Řada 3Send us Fan Mail Today we’ve got someone who knows the game inside out — Milu Kipimo. Entrepreneur and master of sales. If you’ve been running on that old playbook of tricks and…
  • Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio · 1 h 15 min · Řada 3Send us Fan Mail Daktari wa camera mbele ya camera za Msasa , hadithi zinazopigwa humu ni maisha, kuishi , wakati , kufeli , kupanda na kushuka bila bei kushuka. Inapatikana…
  • Living with demons : A battle for control and healing · 1 h 15 min · Řada 2Send us Fan Mail Join us on this episode of the #Msasapodcast as Walter Simalike introduces acceptance and realization as the ultimate step 1. #MsasaPodcast #WalterSimalike…
  • Shughuli ni Watu · 1 h 22 min · Řada 2Send us Fan Mail Episode hii na Seba Kolowa ni shuhuda ya jinsi kijana unavyoweza kupiga hatua kutoka ulipo, mpaka pahala pengine kwa vile ulivyonavyo na vingine vya kuvitafuta.

Živě, poslední hodina: 1 479 skladeb na 7 706 stanicích v 142 zemích

Objevte svět prostřednictvím rádia

Další způsoby objevování (9)

Slyšeli jste něco pěkného? Uložte si to, nebo to otevřete rovnou ve Spotify.

Radio 538 luisteren - Live!Právě oblíbené