Muziki Ijumaa
de RFI Kiswahili
Burudani ya Muziki Ijumaa na mwenyewe hapa Billy Bilali
Sobre este podcast
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episódios
Os 20 episódios mais recentes de 24
- Burudani ya Muziki Ijumaa na mwenyewe hapa Billy Bilali · 10 minUngana naye Billy Bilali mtangazaji wako asipenda makuu katika burudani hii ya dakika 10 ya Muziki ijumaa.
- Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla · 10 minMsanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla.
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026 · 10 minPata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali
- Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026 · 10 minAmbatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026,
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026 · 10 minSikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii.
- Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali · 10 minMakala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu · 10 minIjumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia
- Makala Muziki Ijumaa, pata burudani · 10 min
- Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya · 10 minWiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize
- Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati · 10 minKaribu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.Wiki hii tunasafiri…
- Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili · 10 minKila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa.
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali · 10 minKatika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
- Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda · 10 minKenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
- Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali · 10 minAmbatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
- Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika · 10 minKwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
- Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa · 16 minKila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji.

