Om denne podkasten
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Episoder
De 20 nyeste av 24 episoder
- Sanaa ya ushairi na Suleiman Nambwangula · 20 minUshairi Jukwaani ni uwasilishaji wa mashairi mbele ya hadhira kwa njia ya sauti, vitendo, na hisia ili kufikisha ujumbe kwa nguvu na mvuto zaidi, Tofauti na ushairi wa kusoma…
- Sanaa ya uchoraji jijini Dar es salaam naye Nasima yasin Abubakari · 20 minUkosefu wa Vifaa vya Uchoraji umechangia Sanaa hiyo kudumaa, sasa wachoraji wanalazimika kuagiza kutoka nchi za nje, Kaguta atafuta ufumbuzi.
- Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026 · 20 minWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
- Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre · 20 minLumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma…
- Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly · 20 minPaul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
- Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi · 20 minEgyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya…
- Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo · 20 minSanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
- Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban · 20 minRamadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.
- Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts · 20 minUchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na…
- Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi · 20 minUigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini…
- Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster · 20 minSanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha…
- Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania · 20 minSanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha…
- Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC · 20 minNyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben…
- Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa · 20 minWiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa
- Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio · 20 minJoseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.
- Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala · 20 minMuigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.
- Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania · 20 minWiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.
- Uchoraji unavyowasaidia vijana kujimudu kimaisha · 20 minLicha ya kuwa na Shahada ya Utafiti wa Binadamu,Sanaa ya Uchoraji imempa fursa ya kumudu Maisha, Kutana na Cletus Kenedy.
- Sanaa ya uchoraji na Jordan Katunzi · 20 minMbali na kuwa na Talanta ya Uchoraji, sasa wachoraji nchini Tanzania wanasomea fani hiyo ili kufanya sanaa kwa ufanisi, Jordan Katunzi ni Mchoraji amezungumza na Steven Mumbi…
- John Sombi Kafula, Mwanamuziki wa muziki wa asili kutoka kabila Wasukuma · 20 minWasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla, Wasukumua ni maarufu kwa…
