Tietoa podcastista
Yesu Ndiye Njia is a program hosted by Mr. Zablon Nyonje every Friday on Hope Fm from 8pm to 10 pm. It’s a Christian apologetic programme that targets to reach out to people of other faiths who always ask questions about the Christian faith and Biblical teaching.
Jaksot
Uusimmat 20 jaksoa 106 jaksosta
- MALAIKA · 1 h 18 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu Malaika.
- KUMWABUDU MUNGU · 1 h 22 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu jinsi ya kumwabudu Mungu kwa kweli.
- VITA · 1 h 21 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu vita vinavoendelea katika nyanja za kimataifa.
- HABARI ZA KUFUNGA · 1 h 25 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa kina kuhusu habari za kufunga na umuhimu wake katika maisha yetu ya…
- KUFUNGA · 1 h 16 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kuhusu kufunga naumuhimu wake maishani mwetu"
- KUMPOKEA YESU KRISTO · 1 h 21 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kumhusu "Kumpokea Yesu Kristo"
- KUMFAHAMU YESU KRISTO · 1 h 20 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kwa upana kumhusu Yesu Kristo ambaye ni mwana wa Mungu.
- NENO LA MUNGU · 1 h 20 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu madai kuwa maandiko takatifu yamebadilishwa au kuchafuliwa.
- MATESO KWA MWENYE HAKI · 1 h 24 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu kuteseka kwa wenye haki kwa ajli ya Kristo.
- SIFA ZA MUNGU WA KWELI · 1 h 18 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu sifa za Mungu wa kweli na asiye wa kweli
- UJUMBE WA MUNGU UNAVYOSTAHILI KUTUMIWA · 1 h 23 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu jinsi ujumbe wa Mungu unavyostahili kutumiwa.
- KUZUNGUMZA KWA NDIMI · 1 h 24 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu kipaji cha Roho Mtakatifu cha Kuzungumza kwa Ndimi.
- URITHI WA WANAHARAMU · 1 h 32 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu urithi wa mali kwa watoto waliozaliwa nje ya ndoa.'
- URITHI KAMILI · 1 h 22 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu ‘Urithi Kamili.'
- SIKU YA KIAMA · 1 h 12 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu ‘Siku za mwisho/ kiama.'
- KURUDI KWAKE BWANA YESU · 1 h 25 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Kurudi Kwake Bwana Yesu.'
- MNARA WA BABELI · 1 h 27 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Mnara wa Babeli.'
- WOKOVU · 1 h 25 minUngana na Mwalimu Zablon Nyonje na mwenzake Yusuf Kwoma katika kipindi cha Yesu Ndiye Njia, wanapojadili kuhusu 'Wokovu' na manufaa yake.








