Gurudumu la Uchumi
by RFI Kiswahili
Mkutano wa Urusi na Afrika, Moscow inatafuta nini kwa bara hili?
About this podcast
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
Episodes
The newest 20 of 22 episodes
- Mkutano wa Urusi na Afrika, Moscow inatafuta nini kwa bara hili? · 10 minMwezi uliopita viongozi kutoka Afrika walisafiri hadi Moscow Urusi kwa mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano baina ya bara hilo na Urusi, hata hivyo swali ambalo watu wengi…
- Gazeti linapogeuzwa kuwa penseli ya kuandikia · 10 minMsikilizaji, je, wajua kuwa gazeti la zamani linaweza kugeuzwa kuwa penseli na wakati huo huo kutoa ajira kwa vijana? Huo ndio ubunifu wa wajasiriamali wawili katika eneo la Athi…
- DRC: Ufugaji wa nyuki unavyokwamua maisha ya raia wa mji wa Goma · 10 minMji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, unaendelea kukabiliwa na changamoto za kiusalama na kiuchumi, huku ukiwa chini ya udhibiti wa waasi wa FRN…
- Afrika kuzindua taasisi ya ukadiriaji mikopo, je itasaidia? · 10 minAfrika imezindua rasmi Wakala wa Ukadiriaji wa Mikopo wa Afrika, Africa Credit Rating Agency (AfCRA), hatua inayolenga kushughulikia changamoto za gharama kubwa za mikopo na…
- Je, Afrika itapata sauti inayodai katika uchumi wa dunia? · 10 minKwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, nchi nyingi za Afrika zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni na gharama za juu za kukopa katika masoko ya kimataifa. Fedha nyingi ambazo…
- Kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu: mwanzo wa mapinduzi ya nishati Afrika Mashariki? · 10 minKenya inaagiza karibu mahitaji yake yote ya bidhaa za Petroli kutoka nje, hii ikiwa na maana kuwa bei na upatikanaji wa mafuta katika nchi hii, na kwa kiasi kikubwa katika ukanda…
- Hormuz na Bab el-Mandeb: Njia za baharini zinazotikisa uchumi wa dunia. · 10 minMsikilizaji hebu fikiria mafuta unayoweka kwenye gari lako, bidhaa zinazofika kwenye maduka yetu kutoka Asia, mbolea inayotumika kwenye kilimo, au hata gharama ya kusafirisha…
- Maisha mapya: Jinsi akina mama vijana wanavyobadilisha ujuzi kuwa fursa · 10 minNchini Kenya, suala la mimba za utotoni ni changamoto. Kwa mujibu wa ofisi ya Takwimu ya taofa nchini Kenya kupitia utafiti wa mwaka 2022 asilimia 15 ya wasichana wenye umri wa…
- Umeme unaweza kuwa injini ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki? · 10 minWikendi iliyopita, Tanzania ilizundua rasmi Mradi wa Umeme wa Maji wa bwawa la Julius Nyerere, lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115. Mradi huu, uliogharimu takribani shilingi…
- Goma: Wanawake wapambana na umaskini licha ya changamoto za usalama. · 10 minMsikilizaji katika mazingira ambayo migogoro na changamoto za kiuchumi zimeathiri maisha ya kila siku ya wananchi, wanawake wengi wamekuwa wakitafuta njia mbadala za kujipatia…
- Je, Nchi Inaweza Kuendelea Bila Dira ya Maendeleo? · 10 minMsikilizaji taifa linaweza kuishi siku moja baada ya nyingine bila kujua linaelekea wapi. Lakini taifa linalotaka kujenga uchumi imara, ajira bora na maisha bora kwa wananchi…
- Sehemu ya Pili: Hatifungani ni nini na kwanini inakuhusu · 10 minMara kadhaa tumesikia serikali zetu zikitangaza kuwa zinauza hati fungani za Serikali za muda mfupi na muda mrefu, yaani Government Bonds na Treasury bill, serikali zikikusanya…
- Hatifungani za serikali na hazina: Kwa nini zinahusu kila mwananchi? · 10 minMara kadhaa tumesikia serikali zetu zikitangaza kuwa zinauza hati fungani za Serikali za muda mfupi na muda mrefu, yaani Government Bonds na Treasury bill, serikali zikikusanya…
- Migogoro ya kimataifa inavyoathiri uchumi wa wananchi Afrika · 10 minKatika Makala haya hivi leo tunajadili uhusiano kati ya siasa za kimataifa na uchumi wa wananchi wa Afrika, mara yingi tunasikia taarifa za vita, migogoro ya kisiasa au mivutano…
- Sarafu za kidijitali ‘Cryptocurrency’ uwekezaji wa kisasa wenye fursa na hatari · 10 minKatika miaka ya hivi karibuni, sarafu za kidijitali maarufu kama cryptocurrency zimezidi kuvutia watu wengi duniani. Wapo waliopata faida kubwa, lakini pia wapo waliopoteza fedha…
- Kodi na Maendeleo: Je, tunapata thamani ya kodi tunazolipa? · 10 minKatika makala ya Gurudumu la Uchumi hivi leo, tunajadili nafasi ya kodi katika maendeleo ya uchumi, umuhimu wa kulipa kodi, na jinsi serikali na wananchi wanavyoweza kushirikiana…
- Je, kukopa kunasaidia ukuaji wa uchumi au kunaleta hatari za siku zijazo? · 10 minMsikilizaji nchi nyingi za Afrika Mashariki zimeendelea kukopa ili kufadhili maendeleo, na huku wadau wengine wakisema mikopo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Wengine wanaonya…
- Kutoka taslimu hadi kidijitali: Namna simu zinavyobadili mfumo wa malipo Afrika · 10 minUfanyaji biashara na utumaji wa fedha kwa njia ya simu za kiganjani barani Afrika unakua kwa kasi, pochi za simu zimerekodi takriban asilimia 19 ya uingiaji wa pesa kwenye eneo…
- Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa · 10 minMsikilizaji Sekta ya maua nchini Kenya, ambayo kwa muda mrefu imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi na chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikiingizia nchi zaidi ya…
- Umuhimu wa bara la Afrika kufanya biashara za ndani · 10 minKatika makala ya wiki hii, tunajadili ni kwanini nchi za Afrika zinapaswa kuongeza kasi ya ufanyaji wa biashara za wenyewe kwa wenyewe kukuza utangamano wa kikanda.




