The Wealth Building Podcast
The Wealth Building Podcast
Usiruhusu Mtu Asievaa Viatu Vyako Akufundishe Kuvifunga Kamba.
Bu podcast hakkında
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;
Kuweka Akiba 💰
Uwekezaji 📈
Kujenga Utajiri 💵
Connect with us:
Instagram: @thewealthbuildingpodcast
Anchor: @thewealthbuildingpodcast
Apple Podcast: @thewealthbuildingpodcast
Google Podcast: @thewealthbuildingpodcast
Youtube: @thewealthbuildingpodcast
Bölümler
88 bölümden en yeni 20 bölüm
- Usiruhusu Mtu Asievaa Viatu Vyako Akufundishe Kuvifunga Kamba. · 9 dkNew week, new episode of the Wealth Building Podcast. Usiache kushare, like & comment ikiwa episode hii imeongea na wewe kwa namna moja au nyingine. Enjoy listening & Learning…
- Umuhimu Wa Kuwa Na Malengo Ya Kifedha · 13 dkNew Week, New Episode! Yaaayyyy. Hii Nayo Usisikilize Pekee Yako Share With Your Friends & Family. Tuambie Kwenye Comment Episode Hii Imekugusa Kwa Namna Gani? Tutafurahi Kusikia…
- Fahamu Mambo Haya Mapema Ili Uweze Kufanikiwa Kifedha · 11 dkKufanikiwa kwako kifedha kunategemea kwa ukubwa na maarifa sahihi uliyokuwa nayo pamoja na maarifa ya kifedha ulioamua kuyaishi. Kupuuza maarifa muhimu kifedha kunaweza…
- Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast · 8 dkKaribu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote. Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki…
- Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri · 12 dkKaribu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Mambo Muhimu Ya Kufahamu Na Kuishi Nayo Ukiwa Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri 💵💵 Usisahau Kulike, Comment &…
- ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO · 10 dkMafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha. Leo tunaangalia tabia…
- Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI · 13 dkKila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.
- Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini. · 13 dkWote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo. Love & Respect…
- TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI · 9 dkKitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili…
- FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA · 10 dkHello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For…
- Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha · 8 dkUsiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee…
- Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01) · 7 dkHappy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali…
- Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha · 9 dkKaribu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach
- Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12) · 10 dkKazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo. Usisahau kushare episode hii na wengine. XOXO…
- Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu Mwaka · 9 dkUsiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu. Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha. XOXO, Your…
- Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10) · 10 dk · Sezon 4 Bölüm 10Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening &…
- Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09) · 11 dk · Sezon 4 Bölüm 9Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya…
- Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07) · 9 dk · Sezon 4 Bölüm 7Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya! Usiache kushare na marafiki episode hii, XOXO, Queen Gee. The Wealth Building Coach.
- Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06) · 11 dk · Sezon 4 Bölüm 6Hello Wealthy People! Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru…




