Jua Haki Zako
de RFI Kiswahili
Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump
Despre acest podcast
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Episoade
Cele mai noi 20 din 24 episoade
- Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump · 10 minSafari ya kuwa mkimbizi si rahisi
- Tanzania : Amnesty yatahumu serikali · 10 minKatika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za…
- Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema · 10 minLydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema
- Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI · 10 minMataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ?
- Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani · 10 minKatika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI.
- Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye · 10 minWanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea.
- Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo · 10 minKustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni
- Kenya : Raia wa Burundi waondoka · 10 minRaia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo.
- Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi · 9 minNchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi.
- DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini · 10 minRaia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC.
- Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni · 10 minUtafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne…
- Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya · 10 minNchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi…
- Kenya: Mawakili waandamana kudai haki · 10 minNchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata.
- Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher · 10 minShirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher.
- Haki za wakimbizi awamu ya pili · 10 minAwamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya…
- EAC : Haki za wakimbizi duniani · 10 minKila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya…
- Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya · 10 minLydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja.
- Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti · 9 minWanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za…
- KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare · 10 minKatika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye…
- Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8 · 10 minMzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8.


