TANAPA PODCAST
by Tanzania National Parks (TANAPA)
SE02 EP05: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na…
About this podcast
Welcome to the official podcast of the Tanzania National Parks (TANAPA).
Join us as we explore key conversations on conservation education, tourism, and investment opportunities across Tanzania’s National Parks.
Each episode highlights strategies for sustainable conservation and the vital partnerships that help protect our natural resources for current and future generations.
Episodes
The newest 20 of 23 episodes
- SE02 EP05: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na Uhifadhi Endelevu · 1 h 54 min · Season 2 Episode 5Sikiliza mwendelezo wa kipindi maalum uweze kufahamu umuhimu wa kufanya utalii wa kiuwajibikaji kwa Waongoza Watalii na dhima yake ya kutunza mazingira, uhifadhi endelevu, kukuza…
- SE02 EP04: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na Uhifadhi Endelevu · 1 h 31 min · Season 2 Episode 4Sikiliza kipindi maalum uweze kufahamu umuhimu wa kufanya utalii wa kiuwajibikaji kwa Waongoza Watalii na dhima yake ya kutunza mazingira, uhifadhi endelevu, kukuza utalii pamoja…
- SE02 EP03: Utalii wa Ndani na Nguvu ya Vyombo vya Habari katika Kutangaza Uzuri wa Serengeti · 52 minNafasi ya vyombo vya habari katika kuhamasisha Watanzania kutembelea vivutio vya utalii. Sikiliza TANAPA Podcast – Season 2, Episode 03 kwa mazungumzo maalum kuhusu utalii wa…
- S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii · 49 min · Season 2 Episode 2Katika episodi hii utasikia simulizi, uzoefu na ushuhuda kutoka kwa wataalamu wa uhifadhi pamoja na wanufaika wa programu za ujirani mwema, wakieleza namna uhifadhi unavyochangia…
- Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii · 2 min · Season 2Jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa zinanufaikaje na uhifadhi? Sikiliza simulizi na uzoefu wa wadau wa uhifadhi kuhusu namna ujirani mwema unavyochangia maendeleo ya wananchi na…
- SO2 EP 01: FAHAMU ELIMU YA UJIRANI MWEMA NA FAIDA ZAKE KATIKA UHIFADHI NA JAMII · 45 min · Season 2 Episode 1Episodi hii inaangazia - Chimbuko la Elimu ya Ujirani Mwema - Uanzishwaji na malengo yake kwa jamii zinazoishi kuzunguka Hifadhi za Taifa - Faida zake na umuhimu wa ushiriki wa…
- Promo S02 EP01 Ujio wa Msimu wa II wa Podcast · 4 min · Season 2TANAPA PODCAST | SEASON II Tumerejea na msimu mpya wenye simulizi, maarifa na mazungumzo yanayokupeleka karibu zaidi na ulimwengu wa uhifadhi, utalii na uwekezaji katika Hifadhi…
- S01 EP16 - MILA, DESTURI NA TAMADUNI KATIKA UHIFADHI WA MALIASILI. · 36 min · Episode 16Episodi hii inaangazia njia za asili zilizotumika katika utunzaji wa maliasili kwa kufuata taratibu za kitamaduni, mila, desturi na makatazo mbalimbali yaliyosaidia kusimika…
- S01 EP15 - UHIFADHI NI JUKUMU LA KILA MMOJA · 1 h 2 min · Episode 15Episodi hii inakuletea uchambuzi wa kina kuhusu Uhifadhi kwa kuzingatia kuwa Uhifadhi wa wanyamapori ni zoezi la kujitolea kulinda na kuhifadhi maliasili kwa maslahi ya Taifa kwa…
- S01 EP14 - MILA, DESTURI NA TAMADUNI KATIKA UHIFADHI WA MALIASILI. · 55 min · Episode 14Episodi hii inaangazia mila, desturi na tamaduni katika uhifadhi wa maliasili, hususan namna jamii ya Wangoni kutoka mkoani Ruvuma ilivyotumia majina na utamaduni wao kulinda…
- S01 EP13 - Mila na Tamaduni zilizohusisha mizimu katika kuhifadhi Maliasili · 55 minEpisodi hii inakuletea mazungumzo ya kina kuhusu mila, tamaduni na makatazo ya Kabila la Wagongwe lililopo mkoani Katavi na jinsi taratibu hizo zilivyochangia kulinda maliasili…
- S01 EP12 - Zoezi la Uhamishaji Tembo kutoka Misenyi kwenda Hifadhi ya Taifa Burigi - Chato. · 50 minEpisodi hii imeangazia zoezi endelevu la kuwahamisha tembo walowezi kutoka maeneo ya karibu na wananchi kwenda hifadhini na zoezi zima la kuwaswaga tembo waliotoka hifadhini…
- S01 EP11 - Nyumba ya Kumbukizi ya Mwl. Nyerere na Historia ya Taifa letu. · 42 min · Episode 11Kuelekea Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Oktoba 14, TANAPA PODCAST tunakueletea uchambuzi kuhusu historia ya harakati za uhuru wa…
- S01 EP10 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA PROF. KAMUZORA · 45 min · Episode 10Episodi hii inaangazia mazungumzo ya kina kuhusu zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro ambapo Profesa Kamuzora anaeleza uzoefu wake katika kupanda mlima kwa muda mrefu. Fahamu…
- S01 EP09 - YAFAHAMU MAENEO YA MALIKALE YALIYOKASIMISHWA TANAPA · 56 min · Episode 9Episodi hii inaangazia maeneo ya Malikale yanayosimamiwa na TANAPA na faida zake.Maeneo hayo yamebeba historia za kale, biashara ya utumwa, utawala wa machifu, ukoloni na uhuru…
- S01 EP08 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA CDF (Mst.) GEORGE WAITARA · 40 min · Episode 8Katika Episode hii tunaangaIa mazungumzo ya kuhusu Kampeni ya Twenzetu Kileleni 2015 inayofanyikaga Desemba 09 kila mwaka kukumbuka mashujaa wetu waliopigania uhuru wa Tanganyika…
- S01 EP07 - Uchambuzi wa maneno yenye mkanganyiko katika Sekta ya Uhifadhi na Utalii · 44 min · Episode 7Episodi hii inaangazia uchambuzi wa kina kuhusu maneno mbalimbali yanayoleta mkanganyiko wa maana na matumizi yake katika jamii. Katika Episode 07 Mtopezi wa lugha ya Kiswahili…
- S01 EP06 - Mila, Desturi na Tamaduni katika Uhifadhi wa Maliasili · 37 min · Episode 6Sikiliza Episode 06 uchambuzi wa kina katika mwendelezo wa mada inayoeleza elima ya Uhifadhi ikihusisha Mila, Desturi, Tamaduni na Miiko iliyozuia uharibifu wa Maliasili za Taifa…
- S01 EP05 - Mila, Desturi na Tamaduni katika Uhifadhi wa Maliasili · 1 h 33 min · Episode 5TANAPA Podcast Episode 05 inaangazia mwendelezo wa mada inayoeleza elimu ya Uhifadhi iliyohusisha Mila, Tamaduni, Desturi na Miiko anuwai iliyozuia baadhi ya wanyamapori kuuwawa…
- S01 EP04 Mila, Desturi na Tamaduni zilizotumika katika Uhifadhi wa Maliasili · 58 min · Episode 4Episode hii inaangazia mazungumzo kati ya Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TANAPA, Catherine Mbena na Mzee Fanuel Mbise, Eliona Miley na Elikesia…


