Siirry sisältöön
Global sound
The Life Through My Lenses Podcast

The Life Through My Lenses Podcast

tekijä: Tulinave

Uusin jakso
EP 03: From School To Reality

Tietoa podcastista

Karibu kwenye show yangu. Nitakuwa nikizungumzia mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu—familia, mahusiano, maisha na mada nyingine zinazogusa maisha yangu na yetu kwa ujumla. Hapa nitakua natoa mtazamo wangu, lakini pia naamini kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake. Naamini katika maongezi yenye kusikiliza na kubadilishana mawazo bila kudharauliana wala kukandamizana. Na zaidi ya yote, napenda kucheka, kufurahi na kupiga story. So, let's talk about anything.

Jaksot

  • EP 03: From School To Reality · 40 min · Kausi 1 Jakso 3Katika safari ya mafanikio, sehemu kubwa ya maandalizi yetu huanzia shuleni. Katika episode hii, nitaongelea mtazamo na uhalisia wa mafanikio, kuanzia mtu akiwa shuleni hadi…
  • EP 02: WIMBI LA MASHAURI YA NDOA: VIJANA TUFANYAJE ? · 44 min · Kausi 1 Jakso 2Hi, episode hii ni kwa kila binti aliye kwenye umri wa kukaribia kuolewa au anayetamani kuolewa. Kuna wimbi kubwa la ushauri kutoka kwa watu tofauti, wanawake walioolewa…
  • Ep01: MWANZO MZURI- From Talking to Myself to Talking to You · 17 min · Kausi 1 Jakso 1Karibu kwenye show yangu. Nitakuwa nikizungumzia mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu—familia, mahusiano, maisha na mada nyingine zinazogusa maisha yangu na yetu kwa…

Livenä, viimeisin tunti: 13 091 kappaletta 6 568 asemalla 140 maassa

Löydä maailma radion kautta

Lisää tapoja löytää (9)

Kuulitko jotain hyvää? Tallenna se tai avaa se suoraan Spotifyssa.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
omega stereo 105.0 saagúnJatka kuuntelua