Epizódjegyzetek
Katika episode hii, host anaungana na mwanamuziki na mchambuzi wa muziki, Fredrick Mulla, kujadili masuala mbalimbali yanayogusa muziki na maisha kwa ujumla. Mazungumzo yanagusia mambo kadhaa, yakiwemo muziki, nidhamu, hobbies, beef za kimuziki na mengine mengi. Ni mjadala uliojaa burudani, mitazamo tofauti na mafunzo yanayokupa nafasi ya kutafakari. Usikose!
Weboldal: rss.com
