Skip to content
Global sound
Wanangu podcast

Wanangu podcast

by Goodluck Joseph

Latest episode
Episode 116 | Fredrick Mulla: Muziki, Nidhamu na Beef.

About this podcast

This podcast is hosted by Goodluck Joseph, a curious guy who likes to share all the things he finds interesting in the form of a podcast episode. In other words, this podcast is an extension of his personality and more. Expect to hear topics that range from music, movies, and books to random ideas, all presented in a creative manner.

Episodes

The newest 20 of 116 episodes

  • Episode 116 | Fredrick Mulla: Muziki, Nidhamu na Beef. · 1 h 31 min · Episode 116Katika episode hii, host anaungana na mwanamuziki na mchambuzi wa muziki, Fredrick Mulla, kujadili masuala mbalimbali yanayogusa muziki na maisha kwa ujumla. Mazungumzo yanagusia…
  • Episode 115 | Mkono wa Kushoto au Kulia: Nani Aliamua? · 14 min · Episode 115Katika episode hii, tunajadili jambo ambalo wengi wetu hulichukulia kama la kawaida bila kujiuliza maswali mengi: kwa nini baadhi ya watu hutumia mkono wa kulia huku wengine…
  • Episode 114 | Akili Pekee Hazitoshi · 13 min · Episode 114Katika episode hii, Host anajadili kwa nini akili pekee haitoshi kumfikisha mtu mbali kimaisha. Je, ni nani mwenye nafasi kubwa ya kufanikiwa kati ya mtu mwenye akili nyingi…
  • Episode 113 | Tusisahau Kuishi · 13 min · Episode 113Katika harakati za kufikia malengo yetu na kujenga maisha tunayotamani, mara nyingi tunasahau kufurahia maisha tunayoyaishi sasa. Katika episode hii, Host anatafakari umuhimu wa…
  • Episode 112 | Hakikisha Upo Mtandaoni! Ft. John Viva. · 29 min · Episode 112Katika episode hii, Host anaungana na mtaalamu wa masuala ya taarifa, Bwana John Viva, kudadavua umuhimu wa kuwa na uwepo mtandaoni katika ulimwengu wa sasa. Kupitia mjadala huu…
  • Episode 111 | Pesa Haitakuwa na Thamani Ifikapo 2036? Ft. Baraka Kambi. · 24 minPale mtu tajiri zaidi duniani anaposema kuwa pesa huenda isiwe na thamani yoyote ndani ya miaka kumi ijayo, ni kauli inayozua maswali mengi kuliko majibu. Akiungana na mgeni…
  • Episode 110 | Tunafuata Muziki au Tunatafuta Likes? · 9 min · Episode 110Katika episode hii, host anaibua swali: je, kadri tunavyozidi kwenda mbele, mashabiki wanapoteza uhusiano wao wa moja kwa moja na muziki na kuanza kujali zaidi vitu…
  • Episode 109 | Malengo Yanavyoweza Kukupoteza · 16 min · Episode 109Katika episode hii, Host anatoka nje ya box na kukuletea wazo linalokwenda kinyume na matarajio ya wengi: kwamba kama unataka kufanikiwa zaidi katika unachokifanya, huenda…
  • Episode 108 | Fikra Sahihi Huja Kwa Lugha Asili · 14 min · Episode 108Fuatilia jinsi mstari mmoja wa Nash Mc unavyoweza kuzalisha maswali mengi na yenye kutafakarisha kuhusu uhusiano na kutegemeana kati ya lugha na fikra. Ni kama hadithi ya nani…
  • Episode 107 | A.k.a Mimi by Ngwair (Uchambuzi) · 26 min · Episode 107Katika episode hii, Host anaichambua album ya kwanza ya Ngwair, A.K.A Mimi, na kueleza mambo aliyogundua baada ya kuisikiliza tena akiwa mtu mzima. Wakati album hii ilipotoka…
  • Episode 106 | Usiamini Hadithi Moja Tu · 12 min · Episode 106Katika episode hii, tunaangazia tabia ya kuchukua hadithi ya mtu mmoja na kuitumia kama ushahidi wa kuhitimisha jambo kubwa zaidi. Kupitia mifano ya maisha ya kila siku, katika…
  • Episode 105 | Kampuni Inayouza Rangi Bila Kuuza Rangi! · 11 min · Episode 105Katika Episode hii, tunaangazia historia ya kuvutia ya Pantone, mfumo uliobadilisha namna dunia inavyotambua, kuwasiliana na kutumia rangi. Tutafuatilia jinsi wazo la kuunda…
  • Filamu ya Afrika Iliyowahamasisha Jay-Z na Beyoncé · 21 min · Episode 104Je, ni nini kinachofanya filamu iliyotengenezwa Afrika zaidi ya miaka 50 iliyopita iendelee kuzungumziwa, kupongezwa na hata kuwavutia mastaa kama Jay-Z na Beyoncé? Katika…
  • Episode 103 | Usichokimaliza Hukaa Akilini · 13 minKatika episode hii, Host anaangazia dhana ya kisaikolojia inayojulikana kama ‘The Zeigarnik Effect’, inayoeleza kwamba binadamu huwa na uwezo mkubwa zaidi wa kukumbuka kazi au…
  • Kupenda Kwangu 'Titles' Kunanigharimu · 13 min · Episode 102Katika episode hii, host anakukaribisha ndani ya mawazo yake na kukuonyesha mchakato halisi anaoupitia kila anapotafuta title ya episode mpya. Ni safari iliyojaa vita ya ndani…
  • Episode 101 | Timamu Kati ya Wasio Timamu · 17 min · Episode 101Katika episode hii, host anachambua utafiti maarufu uliofanywa na Dkt. David Rosenhan mwaka 1973, uliouliza swali muhimu kuhusu uwezo wa wataalamu wa afya ya akili kutofautisha…
  • Episode 100 | Kwanini Iliitwa Wanangu Podcast? · 20 min · Episode 100Host anaadhimisha kwa furaha kufikiwa kwa episode ya 100 ya Wanangu Podcast, akitoa shukrani za dhati kwa kila aliyekuwa sehemu ya safari hii, kuanzia wasikilizaji / watazamaji…
  • Episode 99 | Tofauti Kati ya Single, EP na Album · 19 min · Episode 99Muziki hutolewa kwa mifumo tofauti kama Single, EP, na Album, lakini je, unafahamu tofauti kati ya aina hizi za utoaji wa muziki na sababu zinazowafanya wasanii kuzitumia? Katika…
  • Episode 98 | "Jizime Data Uende Mjini" · 15 min · Episode 98Episode hii inaangazia umuhimu wa kuwa na aibu yenye afya, huku ikihoji: nini kinaweza kuwa mustakabali wa jamii yetu ikiwa sote tutaendelea kuishi kwa falsafa ya “Jizime data…
  • Episode 97 | Kunawa Mikono Haikuwa Kawaida ya Madaktari · 15 minEpisode hii inaangazia maisha na mchango wa Ignaz Semmelweis, daktari wa karne ya 19 aliyegundua kwamba kunawa mikono kabla ya kuwahudumia wagonjwa kulipunguza kwa kiasi kikubwa…

More like this

All Arts podcasts →

Live, last hour: 10,048 songs on 4,067 stations in 114 countries

Discover the world through radio

More ways to discover (9)

Heard something good? Save it, or open it straight away in Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
Radio 538 luisteren - Live!Popular right now