Zum Inhalt springen
Global sound
Wanangu podcast

Wanangu podcast

Episode 113 | Tusisahau Kuishi

· 13 Min. · Folge 113

Shownotes

Katika harakati za kufikia malengo yetu na kujenga maisha tunayotamani, mara nyingi tunasahau kufurahia maisha tunayoyaishi sasa. Katika episode hii, Host anatafakari umuhimu wa kuthamini safari badala ya kuweka thamani yote kwenye destination, akidadavua namna ambavyo hamu ya kufika tunakotaka inaweza kutufanya tuahirishe furaha yetu, tukiamini kwamba maisha halisi yataanza pale tutakapofanikiwa. Je, tunaweza kuendelea kutafuta maendeleo bila kupoteza uwezo wa kufurahia tulipo sasa? Fuatilia mjadala huu unaotukumbusha kuwa na ndoto na malengo ni muhimu, lakini katika harakati za kufika…

Website: rss.com

Live, letzte Stunde: 7.338 Songs auf 3.059 Sendern in 128 Ländern

Entdecke die Welt über das Radio

Mehr zum Entdecken (7)

Etwas Schönes gehört? Speicher es oder öffne es direkt in Spotify.

★ Künstler der Woche Der schnellste Aufsteiger im Radio diese Woche
Dein Song hier? Ab € 9 pro Woche →
on the air web radioWeiterhören