Gå til innholdet
Global sound
Neno la Leo

Neno la Leo

av Neno la Leo 255

Nyeste episode
Mafanikio Yasikufanye Umsahau Mungu!

Om denne podkasten

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana (Zaburi 118:24). Anza siku mpya ya Yesu kwa kusiliza na kutafakari nasi “Neno la Leo” kila siku kwa lugha ya Kiswahili.

Episoder

De 20 nyeste av 143 episoder

  • Mafanikio Yasikufanye Umsahau Mungu! · 24 min · Sesong 5 Episode 14🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 9:4–5 Leo tunafika mwisho wa wiki yetu ya pili kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika siku zilizopita tumemwona Sulemani akijenga Hekalu la…
  • Mungu ni Mkuu Kuliko Unavyofikiria! · 22 min · Sesong 5 Episode 13🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 8:27–30 Jana tuliona jinsi utukufu wa Mungu ulivyolijaza Hekalu la Sulemani. Leo tunamsikia Sulemani akiomba wakati wa kuliweka wakfu Hekalu…
  • Usivutiwe na Jengo Ukamsahau Mungu wa Jengo! · 16 min · Sesong 5 Episode 12🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 8:10–13 Leo tunafika katika hatua muhimu sana ya historia ya Israeli. Baada ya maandalizi na kazi kubwa ya ujenzi, Hekalu la Bwana…
  • Usidharau Kipawa Ambacho Mungu Amekupa! · 11 min · Sesong 5 Episode 11🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 7:13–14 Leo tunaendelea na simulizi ya ujenzi wa Hekalu la Bwana katika kipindi cha utawala wa Mfalme Sulemani. Katika maandiko yetu…
  • Unaweza Kuwa Busy na Kazi ya Mungu Ukamsahau Mungu Mwenyewe! · 11 min · Sesong 5 Episode 10🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 6:11–13 Jana tulimwona Sulemani akitumia kipindi cha amani kujiandaa kujenga Hekalu la Bwana. Leo ujenzi unaendelea. Lakini katikati ya kazi…
  • Mungu Amekupa Utulivu, Unautumia Kufanya Nini? · 10 min · Sesong 5 Episode 9🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 5:4–5 Leo tunaendelea na safari yetu kupitia kitabu cha 1 Wafalme na tunamwona Sulemani akijiandaa kujenga Hekalu la Bwana. Katika 1 Wafalme…
  • Kujua Mengi Sio Sawa na Kuwa na Hekima! · 12 min · Sesong 5 Episode 8🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 4:29–30 Jana tulimwona Sulemani akitumia hekima kutatua mgogoro wa wanawake wawili waliokuwa wakigombania mtoto. Leo tunaona chanzo cha hekima…
  • Hekima ya Kweli Huonekana Katika Maamuzi! · 14 min · Sesong 5 Episode 7🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:23–28 Leo tunafika mwisho wa wiki yetu ya kwanza kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika siku zilizopita tulimwona Sulemani akiomba hekima na…
  • Sulemani Aliomba Hekima, Mungu Akampa Zaidi! · 20 min · Sesong 5 Episode 6🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:10–14 Jana tulimwona Sulemani akiomba hekima badala ya utajiri, maisha marefu au ushindi dhidi ya maadui zake. Leo tunaona jinsi Mungu…
  • Unaomba Baraka, Lakini Je, Una Hekima ya Kuzisimamia? · 23 min · Sesong 5 Episode 5🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:5–9 Leo tunamwona Sulemani akiwa katika mwanzo wa utawala wake. Mungu anamtokea katika ndoto na kumwambia aombe kile anachotaka apewe. Hebu…
  • Urithi Mkubwa Si Mali, Ni Kumcha Mungu! · 22 min · Sesong 5 Episode 4🎙️ Leo kwenye Neno la Leo | 1 Wafalme 2:1–4 Leo tunakutana na Mfalme Daudi akiwa katika siku za mwisho za maisha yake. Anamwita mwanawe Sulemani na kumpa maagizo muhimu kabla…
  • Mungu Anapofungua Mlango, Hakuna Awezaye Kuufunga! · 19 min · Sesong 5 Episode 3🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 1 Wafalme 1:28–53 tunaendelea na simulizi ya Daudi, Adoniya na Sulemani kuhusu nani atakayekuwa mfalme wa Israeli. Jana tulimwona Adoniya…
  • Si Kila Mlango Ulio Wazi Unapaswa Kuingia! · 11 min · Sesong 5 Episode 2🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 1 Wafalme 1:5–27 tunaendelea na simulizi ya Mfalme Daudi akiwa katika miaka yake ya mwisho. Wakati Daudi akiwa amezeeka na nguvu zake…
  • Thamani Yako Haipimwi kwa Nguvu Ulizonazo! · 13 min · Sesong 5 Episode 1🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo tunaanza safari mpya ya mwezi Novemba kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika 1 Wafalme 1:1–4 tunakutana tena na Mfalme Daudi lakini safari hii katika…
  • Baada ya Yote Tuliyopitia, Mungu Bado Amekuwa Mwaminifu! · 13 min · Sesong 4 Episode 31🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 23:1–5 tunafika mwisho wa safari yetu ya mwezi Oktoba kupitia kitabu cha 2 Samweli. Katika sehemu hii, tunasoma maneno ya mwisho…
  • Mungu Ndiye Taa Yako Wakati Wa Giza! · 11 min · Sesong 4 Episode 30🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 22:29–31 tunaendelea kusikiliza wimbo wa shukrani wa Mfalme Daudi baada ya kupitia changamoto nyingi katika maisha yake. Daudi…
  • Bwana Ndiye Mwamba Wangu! · 19 min · Sesong 4 Episode 29🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 22:2–4 tunafika katika sehemu ya kipekee ya safari ya Mfalme Daudi. Baada ya kupitia changamoto nyingi, Daudi anaimba wimbo wa…
  • Kumbuka Mikono Iliyokushika Ulipokuwa Unaanguka! · 9 min · Sesong 4 Episode 28🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 19:31–39 tunakutana tena na Barzilai, mmoja wa watu waliomsaidia Mfalme Daudi alipokuwa amekimbia Yerusalemu kutokana na uasi wa…
  • Usitumie Nafasi Yako Kulipiza Kisasi cha Zamani! · 22 min · Sesong 4 Episode 27🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 19:18–23 tunaendelea na simulizi ya Mfalme Daudi akiwa katika safari ya kurudi baada ya uasi wa mwanawe Absalomu. Katika safari…
  • Hata Baada ya Kupoteza, Bado Unaweza Kuanza Upya! · 17 min · Sesong 4 Episode 26🎙️ Leo kwenye Neno la Leo Leo kupitia 2 Samweli 19:14–15 tunafika katika hatua mpya ya safari ya Mfalme Daudi. Baada ya kukimbia Yerusalemu kutokana na uasi wa mwanawe Absalomu…

Live, siste time: 7 220 låter på 3 184 stasjoner i 132 land

Oppdag verden gjennom radioen

Flere måter å oppdage på (9)

Hørt noe fint? Lagre det, eller åpne det rett i Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
The Mix NightcoreFortsett å lytte