Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
av United Nations
Senaste avsnittet
Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu…
Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu…
Om den här podden
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Avsnitt
De 20 senaste av 100 avsnitt
- Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu milioni 30.3 hatarini · 3 minKwa mujibu wa Mfumo wa Umoja wa Umoja wa Mataifa wa tathimini ya viwango vya uhakika wa chakula IPC, hali ya uhaba mkubwa wa chakula inatarajiwa kuwa mbaya zaidi katika Jamhuri…
- 13 NOVEMBA 2026 · 10 minHii leo jaridani tunaangazia uhakika wa chakula nchini DRC, kilmo na mbegu bora nchin Zimbabwe, na biashara ndogondogo na ufugaji kuku kwa wanawake wenye ulemavu nchini Kenya. •…
- Kuwa na ulemavu hakujazima ndoto yangu ya ujasiriamali - Pikoti Chepkemoi · 3 minNchini Kenya, Pikoti Chepkemoi, mwanamke mwenye ulemavu wa miguu kutoka Kaunti ya Pokot Magharibi, ameweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwa na changamoto za ulemavu huo tangu…
- FAO yawasaidia wakulima nchini Zimbabwe kukabiliana na ukame na kulinda mifugo · 3 minNchini Zimbabwe, ambako ukame unaathiri uzalishaji wa chakula, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, linawasaidia wakulima kutumia mbinu za kuhifadhi maji…
- 12 NOVEMBA 2026 · 10 minLeo Novemba 12 mwaka 2026, serikali ya Kenya inaanza kuhesabu siku 42 za kufuatilia iwapo kutaibuka tena maambukizi ya Ebola. Hii ni baada ya mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyekuwa…
- Vijana wasiachwe nyuma - Sara Pima · 2 minTunasalia huko huko Antalya Uturuki kwenye COP31 ambako Sara Pima kutoka Tanzania. Yeye ni Mjumbe wa Kamati ya Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi akiwakilisha Afrika…
- Matumizi ya nishati safi ni kiashiria cha mafanikio ya hatua kwa tabianchi - Guterres · 3 minMaendeleo makubwa yaliyopatikana katika matumizi ya nishati safi duniani yanaonesha kuwa mabadiliko ya haraka kuelekea uchumi usiotegemea nishati za kisukuku yanawezekana…
- 11 NOVEMBA 2026 · 10 minHii leo jaridani tunaangazia juhudu za kukabiliana na mabadliko ya tabianchi, na mazishi salama ya miili ya waathirika wa Ebola nchini DRC. • Maendeleo makubwa yaliyopatikana…
- Mazishi salama na yenye heshima, silaha dhidi ya Ebola nchini DRC · 3 minKatika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mazishi salama na yenye heshima yanaendelea kuwa silaha muhimu katika vita dhidi ya Ebola. Wizara ya Afya ya DRC kwa msaada wa…
- Shule iliyokuwa ikisomesha mamia ya wanafunzi nchini Haiti sasa ni makazi ya wakimbizi wa ndani 3,000 · 3 minShule moja katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, iliyokuwa ikipokea mamia ya wanafunzi, sasa imegeuka kuwa makazi ya muda ya takribani watu 3,000 waliokimbia makazi yao…
- 10 NOVEMBA 2026 · 11 minHii leo jaridani tunaangazia takwimu za afya barani Afrika, hali ya wakimbizi nchini Haiti, na changamoto za malezi ya watototo wenye ulemavu. • Shirika la Umoja wa Mataifa la…
- Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika laanza Nairobi, Kenya · 4 minShirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO), kupitia Ofisi zake za Kanda ya Mashariki ya Mediterania na Afrika, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, limeandaa Jukwaa la…
- Wazazi wa watoto wenye mtindio wa ubongo nchini Kenya wavunja ukimya kuhusu unyanyapaa · 3 minKulea mtoto mwenye changamoto ya kiafya kunaambatana na changamoto nyingi kwa wazazi au walezi. Mbaya zaidi ni pale juu ya changamoto nyingine, wanakumbana na changamoto kubwa…
- 09 NOVEMBA 2026 · 11 minHii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, COP31, umeanza leo jijini Antalya, Uturuki, ukimulika ajenda…
- 06 NOVEMBA 2026 · 11 minHii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Vijana huko visiwani Zanzibar nchini Tanzania, mashariki mwa bara la Afrika wameshiriki mafunzo ya kuimarisha amani na kuchochea…
- Wanawake nchini Uganda wako mstari wa mbele kutatua migogoro na kujenga amani · 3 minMatumizi ya pombe, ukatili wa kijinsia na migogoro ya kijamii ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha amani katika baadhi ya maeneo nchini Uganda. Hata hivyo, wanawake wamekuwa…
- Mashambulizi dhidi ya mifumo ya maji katika maeneo yenye migogoro yameongezeka mara tatu - UNICEF · 3 minMashambulizi dhidi ya mifumo ya maji katika maeneo yenye migogoro yameongezeka mara tatu kati ya mwaka 2021 na 2025, yakihatarisha maisha ya mamilioni ya watu, hususan watoto…
- 05 NOVEMBA 2026 · 10 minHii leo jaridani tunaangazia athari za vita kwa upatikanaji wa maji, Siku ya Kimtaifa ya Kukuza Uelewa Kuhusu Tsunami, na Juhud iza wanawake nchini Uganda za kuhamasisha jamii…
- UNDRR: Ukikumbwa na Tsunami, hatua hizi zitakusaidia kunusurika · 3 minKama nilivyokudokeza hapo awali, hii leo ni Siku ya Kimtaifa ya Kukuza Uelewa Kuhusu Tsunami. Binafsi kwa ufupi ninaweza kukweleza kuwa Tsunami ni msururu wa mawimbi makubwa…
- Kutoka kuhofia kuhukumiwa hadi kuwa mhamasishaji wa afya ya uzazi kwa vijana nchini Kenya · 3 minZipporah Achieng, mama kijana nchini Kenya, ambaye aliwahi kuhofia kuhukumiwa alipokwenda kliniki kupata huduma za afya baada ya kujifungua, sasa amegeuka kuwa mhamasishaji wa…








