Informazioni su questo podcast
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodi
I 20 episodi più recenti su 24
- Dunia: Wapenzi wauawana kwa nini? · 10 minVisa vya wapenzi kuuawana vimeongezeka hivi karibuni katika maeneo mbalimbali duniani.
- Kenya: Bunge kujadili mswaada wa kudhibiti mitandao · 10 minNchini Kenya, mswaada umewasilishwa bungeni unaolenga kushinikiza mitandao ya kijamii kudhibiti maudhui hasi kuwafikia watoto chini ya umri wa miaka 18, au kutozwa dolla millioni…
- Kenya : Paul Mackenzie afungwa jela miaka 200 · 10 minWiki iliyopita Mahakama nchini Kenya, ilimuhukumu kifungo cha miaka 200 mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na mauaji ya shakahola…
- Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake · 10 minTaifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo
- Africa : Umaskini unatatiza bara Africa · 9 minOktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote.
- Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF · 10 minKiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa…
- Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii · 9 minLicha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya…
- Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili · 10 minKila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
- Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya. · 10 minMakala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa…
- Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika? · 10 minWiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake…
- Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu · 10 minIdadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka
- Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA · 10 minIdadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.
- Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili · 10 minKila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.








