Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
von RFI Kiswahili
Kundi la FRN lakabiliwa na vikwazo vya UN, mkutano wa COP31…
Über diesen Podcast
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
Folgen
Die neuesten 20 von 24 Folgen
- Kundi la FRN lakabiliwa na vikwazo vya UN, mkutano wa COP31 kuendelea Antalya · 20 Min.Umoja wa mataifa waliongeza kundi la waasi la DRC FRN kwenye orodha ya vikwazo, nchini Kenya kupatikana kwa wakili aliyekuwa ametekwa Ahmed Sadiq AbdiAbshir,pia yalitamatishwa…
- ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania · 20 Min.Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la ADF kwenye mji wa Cantine-Aloya mashariki mwa DRC; mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa…
- ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania · 20 Min.Na miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na Tanzania kuadhimisha mwaka mmoja baada ya vurugu zilizohusishwa na uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 mkutano wa siki mbili kati ya…
- Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi · 20 Min.Yaliyojiri wiki hii ni pamoja na watu kadhaa wahofiwa kufukiwa na jengo lililoporormoka mtaani Eastleigh jijini Nairobi nchini Kenya, hali ya sintofahamu yaendelea kuzingira kisa…
- Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila · 20 Min.Makala hii imeangazia hatua ya rais mstaafu wa DRC Joseph Kabila kuzindua muungano mpya wa uasi wa FRN. Maadhimisho ya miaka 27 tangu alipoaga dunia mwasisi wa taifa la Tanzania…
- Kenya hakuna mlipuko wa Ebola, ajali ya gari yaua 32 nchini Tanzania · 20 Min.Makala hii imeangazia kisa cha mgonjwa wa ebola aliyetokea DRC kufariki dunia, watu 32 wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani mkoani Morogoro nchini Tanzania, na ujumbe wa…
- Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe · 20 Min.Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, huko Lamu, pwani ya Kenya, mapigano yaendelea huko Ethiopia, kifo…
- Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia. · 20 Min.Taarifa kuu utakayoskia kwenye makala haya ni pamoja na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwezi Disemba.
- Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC · 20 Min.Raia wa Burundi walivyokumbwa na masaibu jijini Nairobi, Kenya wengine wakaamua kuondoka, ajali ya mioto iliyotokea nchini DRC, kuanzia Kinshasa wakati wa sherehe ya harusi, kuja…
- Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli · 20 Min.Makala hii imeangazia maandamano ya wanaharakati wa Kenya wakidai kuachwa huru kwa wapinzani Tundu Lisu huko Tanzania, na Kiiza Besigye huko Uganda, wanaokabiliwa na mashitaka ya…
- Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23 · 20 Min.Makala hii imeangazia kujiuzulu kwa makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi, huku bunge limemwidhinisha Deogracias Ndejembi kuwa makamu mpya wa rais, na huko DRC rais Felix…
- Ziara ya rais wa DRC nchini Tanzania, ushindi wa Hakainde Hichilema huko Zambia · 20 Min.Makala hii imeangazia ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi nchini Tanzania, mahakama ya Tanzania yasema kiongozi wa chama cha Chadema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini…
- Uchaguzi wa nchini Zambia, siasa za DRC, Kenya naTanzania kushika kasi · 20 Min.Uchaguzi wa urais na wabunge ulivyofanyika nchini Zambia wiki hii, na sasa wananchi wanasubiri matokeo rasmi, baada ya vurugu za siku ya Ijumaa, rais wa Kenya William Ruto…
- Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda · 20 Min.Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali…
- Kuzirai kwa kiongozi wa upinzani Uganda, mahakama ya katiba nchini DRC yaamua · 20 Min.Kinara wa upinzani nchini Uganda azirai akiwa mahakamani, mahakama ya katiba nchini DRC ilisema kwamba sheria iliyopendekezwa kuhusu kuandaa kura ya maoni katika nchi hiyo ni ya…
- Watu zaidi ya 20 kuuawa mashariki mwa DRC, mchakato wa katiba mpya Tanzania · 20 Min.Shambulio la ADF laua zaidi ya 20 mashariki mwa DRC, ziara ya waziri mkuu Judith Suminwa huko Ituri, gavana wa zamani wa migori akutwa na hatia ya mauaji, huku rais Ruto akionya…
- Matokeo ya uchaguzi mdogo Ol Kalou Kenya; rais wa DRC aitisha mazungumzo jumuishi · 20 Min.Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni wapiga kura na wanahabari walivyoshambuliwa wakati wa uchaguzi mdogo Ol Kalau na kuzua hofu kuhusu uchaguzi wa 2027 nchini Kenya: wanafunzi…
- Makubaliano kati ya Marekani na Iran kuvunjika, maandamano ya mawakili wa Kenya · 20 Min.Yaliyojiri wiki hii ni kuvunjika kwa makubaliano kati ya Marekani na Iran, mazishi ya kiongozi wa kiroho wa Iran A.Khamenei, rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwaonya wanaharakati…
- DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran · 20 Min.Makala imeangazia maadhimisho ya miaka 66 ya uhuru wa jamahuri ya kidemokrasia ya Congo, kuanzishwa kwa majaribio ya dawa zizonaweza kuwa tiba ya Ebola aina ya Bundibugyo huko…
- Maandamano ya Gen Z Kenya, ziara ya rais Ndayishimiye DRC,vifo Venezuela vyafikia920 · 20 Min.Maandamno ya vijana wa Gen Z kuwakumbuka wenzao waliouawa katika maandamano ya mwaka wa 2024 nchini Kenya, kesi ya aliyekuwa meya wa jiji la Kampala Uganda Erias Lukwago, ziara…








