Μετάβαση στο περιεχόμενο
Global sound
Mwangaza Institute

Mwangaza Institute

από Brother Hilal

Τελευταίο επεισόδιο
Story ya Adam na Hawa

Σχετικά με αυτό το podcast

Mwangaza Institute ni taasisi ya kuelimisha jamii kuhusu Misingi ya Maisha: Imani, Mapenzi na Uongozi.

Kila wiki tunajadili kwa lugha rahisi jinsi ya kuimarisha imani yetu, kujenga mapenzi ya kweli, na kuelewa siasa bila chuki. Lengo letu ni jamii yenye nuru.

Kutoka Zanzibar kwa ajili ya Afrika yote.

Επεισόδια

  • Story ya Adam na Hawa · 23 λεπ. · Σεζόν 1 Επεισόδιο 5katika Episode hii tumeeleza Story ya Adam na Hawa, story ambayo ni Muhim kwetu kujua maana hapo ndipo Watu sote tulipo anzia Elimika nasi Elimika na Mwangaza Institute
  • Stori za Qur-an kufanana na za Bible · 37 λεπ. · Σεζόν 1 Επεισόδιο 4kwenye Episode 4 tumeeleza sababu zinazo pelekea kufanana kwa Stori za Qur-an na vitabu vilivyo tangulia, kama tunavyojua kuwa Uislamu unatuhumiwa kuiba Stori kutoka kwenye…
  • The Foundation, Episode 3 · 30 λεπ. · Σεζόν 1 Επεισόδιο 3Tumeanza na Historia yetu Binadamu kabla ya kuumbwa Adam, tumeelezea umuhimu wa Historia na faida zake.. na mengine mengi. Ungana nasi kwenye Safari yetu hii ya Msingi wa Imani.
  • Foundation Ep2 · 57 λεπ. · Σεζόν 1 Επεισόδιο 2tumejaribu tonesha udhaifu kiakili kwenye sector za Science, watu wa Mila na Uktristo juu ya swala zima la Imani.mazungumzo yameegemea juu ya Mdahalo wa watu wa Dini na wasio na…
  • The foundation · 39 λεπ. · Σεζόν 1 Επεισόδιο 1Matatizo Manne yalopelekea kuanzisha Project hii

Ζωντανά, τελευταία ώρα: 14.734 τραγούδια σε 6.416 σταθμούς σε 138 χώρες

Ανακαλύψτε τον κόσμο μέσα από το ραδιόφωνο

Περισσότεροι τρόποι ανακάλυψης (7)

Ακούσατε κάτι ωραίο; Αποθηκεύστε το ή ανοίξτε το απευθείας στο Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
Radio 538 luisteren - Live!Δημοφιλή τώρα