Gå til innholdet
Global sound
Wanangu podcast

Wanangu podcast

Episode 101 | Timamu Kati ya Wasio Timamu

· 17 min · Episode 101

Episodebeskrivelse

Katika episode hii, host anachambua utafiti maarufu uliofanywa na Dkt. David Rosenhan mwaka 1973, uliouliza swali muhimu kuhusu uwezo wa wataalamu wa afya ya akili kutofautisha kati ya mtu mwenye ugonjwa wa akili na anayejifanya kuwa nao. Matokeo ya utafiti huo yaliibua mjadala mkubwa na kuonyesha mapungufu yaliyokuwepo katika mfumo wa utambuzi wa magonjwa ya akili, kiasi cha kuwafanya wengi kuhoji usahihi wa baadhi ya uchunguzi wa kitabibu. Fuatilia simulizi hii ya kusisimua ili kujua Rosenhan alifanyaje utafiti huo na kwa nini hitimisho lake lilibadilisha mjadala kuhusu afya ya akili…

Nettsted: rss.com

Live, siste time: 9 799 låter på 3 996 stasjoner i 126 land

Oppdag verden gjennom radioen

Flere måter å oppdage på (7)

Hørt noe fint? Lagre det, eller åpne det rett i Spotify.

★ Artist of the week The fastest riser on the radio this week
Your song here? From € 9 per week →
Osna.FM - Wave of OsnabrückFortsett å lytte